Juma Mgunda Hajamalizana na Simba Bado
Upo uwezekano mkubwa wa Simba kuendelea na kocha wake msaidizi, Juma Mgunda katika msimu ujao licha ya usiri mkubwa ulikuwepo kati yake na mabosi wa timu hiyo. Mgunda hakuwakatika msafara …
Ishu ya Sudi Abdallah Kutua Yanga Ipo Hivi
Inaelezwa kuwa Sudi Abdallah, ambaye ni raia wa Burundi, ndiye straika mpya anayekuja Yanga kurithi mikoba ya Mayele anayeondoka kwenda kucheza kwenye moja ya klabu huko Saudi Arabia. Sudi …
Porto Yaweka Bei ya Taremi Anayelengwa na Milan na Inter
Porto wameripotiwa kuamua juu ya bei inayofaa kwa mshambuliaji Mehdi Taremi, ambaye anawaniwa na Milan, Inter pamoja na vilabu vingine vichache ndani ya Serie A na barani Ulaya. Kulingana …
PSV Inavutiwa na De Ketelaere Lakini Milan Kuulizia Bei Yake Inaweza kuwa Shida
PSV inasemekana kuwa na nia ya kumleta Charles De Ketelaere wa Milan kuchukua nafasi ya Xavi Simons anayeondoka msimu huu, lakini bei ya Milan inaweza kuwa tatizo kwa klabu ya …
Napoli Wameanza Mazungumzo na Tottenham Kuhusu Lo Celso
Ripoti nyingi nchini Italia zinadai mkurugenzi mpya wa Napoli Maurizio Micheli ameanza mazungumzo na Tottenham kwa Giovani Lo Celso, wakati Los Angeles FC wametoa ofa kwa Hirving Lozano. Napoli …
Mauro: “Siwezi Kuwachukua Wachezaji Kama Lukaku Pale Juventus”
Kiungo wa kati wa zamani wa Juventus Massimor Mauro amesisitiza kwamba hatawachukua wachezaji kama Lukaku’katika klabu ya Juve huku kukiwa na uvumi kwamba mshambuliaji huyo wa zamani wa Inter amekuwa …
Cuadrado Kujiunga Inter kwa Uhamisho wa Bure
Juan Cuadrado anakaribia kujiunga na Inter kwa uhamisho wa bure baada ya kumalizika kwa mkataba wake na Juventus. Mkongwe huyo wa Colombia anatazamiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja San …
Rais wa Bayern Hoeness Ana Uhakika wa Kumleta Kane kutoka Spurs
Harry Kane ameashiria wazi uamuzi wake wa kuondoka Tottenham na kujiunga na Bayern Munich, kulingana na rais wa heshima wa klabu hiyo ya Ujerumani Uli Hoeness. Kane amevutiwa na …
Busquets Aungana na Messi Katika Klabu ya Inter Miami
Inter Miami imemsajili kiungo Sergio Busquets baada ya kuondoka Barcelona katika dirisha hili kubwa la usajili. Busquets mwenye miaka 35, ambaye alikuwa ametumia maisha yake yote ya uchezaji Nou …
Fabinho Kuelekea Al-Ittihad
Kiungo wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Brazil Fabinho taarifa zinaeleza yuko mbioni kuelekea nchini Saudia Arabia kujiunga na klabu ya Al-Ittihad. Klabu ya Liverpool na Al-Ittihad …

