Bruno Fernandes Anatarjiwa kua Nahodha Mpya United
Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes inaelezwa kua anatarajiwa kua nahodha mpya wa klabu hiyo baada ya Harry Maguire kuvuliwa kitambaa. Bruno Fernandes ambaye alikua nahodha msaidizi msimu …

Soma zaidi
Wenger: Arsenal wanaweza kua Mabingwa Msimu Ujao
Daily News

Kocha wa zamani wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger amesema anaamini klabu hiyo ina kila sababu ya kuweza kubeba ubingwa wa Uingereza msimu ujao. Kocha Wenger ameweka wazi kua klabu …

Soma zaidi
Maguire Rasmi Avuliwa Unahodha United
Daily News

Beki wa kimataifa wa Uingereza Harry Maguire ameeleza kupitia mitandao ya kijamii kua kwasasa sio nahodha tena wa klabu ya Manchester United baada ya mazungumzo ya kina na kocha wa …

Soma zaidi
West Ham Wamvizia Maguire
Daily News

Klabu ya West Ham United wameonesha nia kumuhitaji beki wa kimataifa wa Uingereza anaekipiga klabu ya Manchester United Harry Maguire ambapo klabu hiyo imemueka sokoni. West Ham chini ya kocha …

Soma zaidi
Manchester United Wamfukuzia Goretzka
Daily News

Klabu ya Manchester United ipo kwenye mchakato wa kumsajili kiungo wa klabu ya Bayern Munich raia wa kimataifa wa Ujerumani Leon Goretzka ndani ya dirisha hili. Manchester United mpaka sasa …

Soma zaidi
Mayele Kutimka Yanga
SOKA LA BONGO

Mshambuliaji wa Yanga raia wa kimataifa wa Congo Fiston Mayele atatimka ndani ya klabu hiyo muda wowote kuanzia sasa na ataelekea klabu ya Pyramids nchini Misri. Mchezaji Fiston Mayele inaelezwa …

Soma zaidi
Man United na Onana Kila Kitu Safi
News

Klabu ya Man United yafanikiwa kumalizana na klabu ya Inter Milan kwajili ya kumnunua golikipa wa timu hiyo Andre Onana kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 48. Man United …

Soma zaidi
Milan Wanataka Kumsajili Mshambuliaji wa PSG Ekitike
Daily News

Milan wanaripotiwa kufikiria kumnunua mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Hugo Ekitike, ambaye yuko tayari kuondoka katika mji mkuu wa Ufaransa baada ya msimu mgumu wa kwanza.   Mshambuliaji huyo mwenye umri …

Soma zaidi
Roma Yaendelea Kushinikiza Kumnunua Morata
Daily News

Roma wanaendelea kumsaka mshambuliaji wa Atletico Madrid Alvaro Morata na Mhispania huyo atakuwa tayari kukatwa mshahara ili kuungana na Jose Mourinho na Paulo Dybala.   Kulingana na Calciomercato, Morata anapata …

Soma zaidi
Dean Kuachana na Bodi ya Waamuzi wa PGMOL Msimu Huu wa Joto
Daily News

Mike Dean anatazamiwa kuacha jukumu lake na bodi ya mwamuzi wa Professional Game Match Officials Limited.   Baada ya kustaafu kazi yake ya uwanjani mwishoni mwa msimu wa 2021-22, Dean …

Soma zaidi
1 2 3 435 436 437 438 439 440 441 2,270 2,271 2,272
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.