Rb Leipzig Wamsajili Xavi Simons
Bundesliga

Kiungo wa klabu ya PSG Xavi Simons amefanikiwa kujiunga na klabu ya Rb Leipzig kwa mkataba wa mwaka mmoja ukiwa wa mkopo mpaka mwezi Juni 2024. Xavi Simons amejiunga na …

Soma zaidi
Tchouameni Azikataa Liverpool na Bayern Munich
La Liga

Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Aurelien Tchouameni taarifa zinaeleza amezikataa klabu za Liverpool na Bayern Munich ambazo zilikua zinamuhitaji mchezaji huyo. Vilabu vya …

Soma zaidi
Pogba Bado Yupoyupo Juventus
Serie A

Mkurugenzi wa klabu ya Juventus Giuntoli amesema kua nyota wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba bado yupo ndani ya klabu hiyo kwakua bado wana mpango nae. …

Soma zaidi
Manchester United Kutuma Ofa Rasmi kwa Hojland
Daily News

Klabu ya Manchester United inatarajia kutuma ofa rasmi kwa klabu ya soka ya Atalanta kwajili ya kumnasa mshambuliaji wa klabu hiyo Rasmus Hojland raia wa kimataifa wa Denmark. Manchester United …

Soma zaidi
Chelsea Wakaribia Kumalizana na Caicedo
Daily News

Klabu ya Chelsea inaripotiwa kukaribia muafaka na klabu ya Brighton kwajili ya kiungo wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Ecuador Moises Caicedo. Chelsea ambao walikataliwa dau lao juu ya …

Soma zaidi
Bayern Yaweka Wazi Matakwa ya Kumhitaji Sommer
Daily News

Inter wanafanya kazi ya kumbadilisha Andre Onana na kumuingiza Yann Sommer na Bayern Munich wameripotiwa kuweka wazi msimamo wao.   The Nerazzurri tayari wamekamilisha mauzo ya mlinda mlango huyo raia …

Soma zaidi
Tomori: “Unapofikiria Milan, Unafikiria Maldini”
Daily News

Fikayo Tomori alitafakari juu ya kuondoka kwa Paolo Maldini Milan, akisema kuwa hakuna mtu mwingine kama yeye kwenye klabu.   Mmiliki wa Rossoneri Gerry Cardinale aliamua kumfukuza mkurugenzi huyo wa …

Soma zaidi
Torino Yakutana na Milan kwaajili ya Pobega
Daily News

Torino inasemekana ilikutana na wasaidizi wa Milan na Tommaso Pobega ili kutangaza uwezekano wa kumnunua mchezaji huyo msimu huu wa joto.   The Rossoneri wamekuwa wakifanya kazi msimu huu baada …

Soma zaidi
Ronaldo: “Serie A Ilikuwa Imekufa Nilipojiunga na Juventus”
Daily News

Cristiano Ronaldo anasema Serie A ‘ilikuwa imekufa’ alipojiunga na Juventus na popote anapoenda anazalisha maslahi makubwa zaidi.   Ronaldo alizungumza na waandishi wa habari jana jioni kufuatia kupoteza kwa Al-Nassr …

Soma zaidi
Bournemouth Wavamia Mpango wa Lazio kwa Kerkez
Daily News

Lazio walikuwa wakifanya kazi ya kumnunua Milos Kerkez lakini Fabrizio Romano anadokeza kuwa Bournemouth sasa wamevamia uhamisho huo wa talanta ya AZ Alkmaar.   Iliripotiwa wiki iliyopita kwamba Biancocelesti walikuwa …

Soma zaidi
1 2 3 432 433 434 435 436 437 438 2,270 2,271 2,272
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.