Saint-Maximin Yupo Katika Mazungumzo Kuondoka Newcastle
Daily News

Eddie Howe amethibitisha kuwa Allan Saint-Maximin yuko kwenye majadiliano kuhusu kuhamia klabu nyingine kufuatia ushindi wa Newcastle wa 2-1 dhidi ya Rangers huko Ibrox.   Mshambuliaji huyo alikosekana kwenye kikosi …

Soma zaidi
Cuadrado Aeleza Kwanini Alijiunga na Inter Baada ya Kuondoka Juventus
Daily News

Juan Cuadrado amefunguka kuhusu kwanini aliamua kujiunga na Inter baada ya kuitumikia Juventus kwa miaka nane.   Mkataba wa winga huyo wa Colombia mwenye umri wa miaka 35 mjini Turin …

Soma zaidi
RB Salzburg Inakaribia Kumsajili Turco wa Juventus
Daily News

SportItalia wanapendekeza kwamba RB Salzburg wanakaribia kukamilisha dili la kipaji anayechipukia wa Juventus Nicolo Turco.   Mshmabuliaji huyo chipukizi alikuwa sehemu ya kikosi cha Azzurrini ambacho kilishinda Mashindano ya Ubingwa …

Soma zaidi
Mahojiano ya Dele Alli Yalikuwa Yakuumiza Kwa Pochettino Kuyatazama Yote
Daily News

Mauricio Pochettino hakuweza kutazama toleo kamili la mahojiano ya kihisia ya Dele Alli na Gary Neville.   Akiongea kwenye kipindi cha The Overlap wiki iliyopita, Dele ambaye ni kiungo wa …

Soma zaidi
Pochettino Ameamua Kumfanya Mudryk Aruke Vizuri Tena
Daily News

Mauricio Pochettino amempa Mykhailo Mudryk nyongeza kwa wakati kabla ya mechi ya kwanza ya Chelsea ya kujiandaa na msimu mpya.   The Blues wameanza ziara yao ya Amerika dhidi ya …

Soma zaidi
Rooney Awaambia Maguire na Greenwood Waondoke Man United
Daily News

Nahodha wa zamani wa Manchester United Wayne Rooney amewaambia Harry Maguire na Mason Greenwood waondoke Old Trafford.   Maguire alivuliwa unahodha wiki iliyopita katika hatua nyingine iliyoonekana kufanywa na meneja …

Soma zaidi
Simba Kazi inaendelea Uturuki
SOKA LA BONGO

MASTAA wa kikosi cha Simba ambao wamejiunga na timu hiyo Julai 18 wameanza mazoezi na wachezaji wengine waliotangulia. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikosi hicho kimeanza maandalizi ikiwa ni …

Soma zaidi
Yanga Yamshusha Makudubela ni Hatari
SOKA LA BONGO

NI Mahlatse Manoka Makudubela ni nyota mwenye uwezo mkubwa akiwa ndani ya uwanja kutokana na kumiliki, kutoa pasi na chenga za kukera atakuwa Jangwani. Huyu ndiye atakayepewa namba sita ndani …

Soma zaidi
Akpan Kurejea Ihefu
SOKA LA BONGO

KIUNGO Victor Ackpan raia wa Nigeria aliyekutana na Thank You ndani ya Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za mwisho kujiunga na Ihefu wapeleka maumivu kwa Yanga. Ikumbukwe kwamba Ihefu ni …

Soma zaidi
Mahrez Kutimkia Saudia Arabia
Daily News

Winga wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Algeria Riyad Mahrez amefanikiwa kufikia makubaliano na klabu ya Al Ahli kwajili ya kujiunga na timu hiyo. Manchester City …

Soma zaidi
1 2 3 430 431 432 433 434 435 436 2,270 2,271 2,272
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.