Bruno Fernandez Nahodha Mpya United
Daily News

Erik ten Hag amemteua Bruno Fernandes kuwa nahodha mpya wa Manchester United msimu ujao.   Kiungo huyo anachukua unahodha kutoka kwa Harry Maguire, ambaye alinyang’anywa jukumu hilo baada ya kuangukia …

Soma zaidi
City Wanamlenga Raphinha Azibe Pengo la Mahrez
Daily News

Manchester City wanamlenga winga wa Barcelona Raphina kuchukua nafasi ya Riyad Mahrez aliyekwenda Saudi Arabia.   Mahrez mwenye miaka 32, yuko mbioni kujiunga na Al-Ahli kwa pauni milioni 30 baada …

Soma zaidi
Harry Kane Hatasaini Mkataba Mpya Tottenham
Daily News

Harry Kane hatasaini mkataba mpya na Tottenham huku Bayern Munich wakionekana kuwa na uwezekano mkubwa wa kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 29.   Harry Kane ambaye ni nahodha …

Soma zaidi
Gamondi Atoa Kauli ya Kibabe Yanga
SOKA LA BONGO

KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema hana shinikizo lolote kuelekea msimu ujao na anaimani yakufanya vizuri akiwa na mabingwa hao wa soka la Tanzania. Miguel amezungumza hayo …

Soma zaidi
Kaze Aaga Rasmi Yanga
SOKA LA BONGO

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Yanga Cedric kaze amewaaga rasmi mashabiki, wanachama na viongozi wa timu hiyo mara baada ya kuachana na timu hiyo. Cedric Kaze atarudi nchini kwao Burundi kwenda …

Soma zaidi
Chilunda Asaini Miaka Miwili Simba
SOKA LA BONGO

TAARIFA za kuaminika kutoka ndani ya Simba zinaweka wazi kuwa uongozi huo umemalizana na mshambuliaji wa zamani wa Azam FC Shaban Idd Chilunda akiwa kama mchezaji huru. Mtoa taarifa huyo …

Soma zaidi
Wolves Wamrudisha Doherty
Daily News

Klabu ya Wolves inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imefanikiwa kumrudisha beki wake wa kulia ambaye alikua klabu ya Tottenham Hotspurs na baadae kutimkia Atletico Madrid Matt Doherty. Matt Doherty alijiunga …

Soma zaidi
Manchester United Kutuma Ofa Rasmi kwa Hojlund
Daily News

Klabu ya Manchester United inatarajiwa kutuma ofa rasmi kwa klabu ya Atalanta kwajili ya kumsaini mshambuliaji wa klabu hiyo Rasmus Hojlund. Manchester United itafungua mazungumzo rasmi na Atalanta pamoja na …

Soma zaidi
Mane Kuibukia Al Nassr
Daily News

Winga wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Senegal Sadio Mane anatarajiwa kujiunga na klabu ya Al Nassr kutoka nchini Saudia Arabia kutokana na ripoti mbalimbali. Taarifa …

Soma zaidi
Arthur Melo Kucheza Fiorentina Msimu Ujao
Serie A

Kiungo wa klabu ya klabu ya Juventus raia wa kimataifa wa Brazil Arthur Melo anatarajiwa kujiunga na klabu ya Fiorentina kwa mkopo wa msimu mmoja. Kiungo huyo wa kimataifa wa …

Soma zaidi
1 2 3 428 429 430 431 432 433 434 2,270 2,271 2,272
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.