PSG Waingia Vitani na Man United kwa Hojlund
Klabu ya PSG imeamua kuingia vitani jumlajumla na klabu ya Manchester kwa mshambuliaji wa klabu ya Atalanta na timu ya taifa ya Denmark Rasmus Hojlund. PSG wanaripotiwa kua tayari kutoa …
Ten Hag: Maguire ni Mchezaji Muhimu Bado
Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amemzungumzia alieykua nahodha wa klabu hiyo Harry Maguire kua bado beki huyo ni mchezaji muhimu kwenye kikosi hicho. Beki Harry Maguire alivuliwa kitambaa …
Nottingham Forest Wamtaka Elanga
Klabu ya Nottingahm Forest imetuma maombi kwa klabu ya Manchester United ya kumuhitaji winga wa klabu hiyo Anthony Elanga kwa mkopo wa msimu mzima. Nottingham Forest wanamuhitaji winga Elanga kwajili …
Harry Kane Akataa Kusaini Mkataba Mpya Spurs
Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs na timu ya taifa ya Uingereza Harry Kane amegoma kusaini mkataba mpya na klabu hiyo na anataka kuondoka kwenye timu hiyo. Harry Kane mkataba …
Ten Hag Ammwagia Misifa Onana
Baada ya Golikipa Andre Onana kutangazwa rasmi jana kama golikipa mpya wa klabu ya Manchester United kocha wa klabu hiyo Erik Ten Hag amemmwagia sifa kedekede kipa huyo. Kocha Ten …
Klabu Moja Kutoka Saudi Inamhitaji Lautaro Martinez
Kulingana na ripoti za jana jioni, klabu kutoka Saudi Arabia ina nia ya kumpa mkataba mkubwa Lautaro Martinez katika jaribio la kumvuta kutoka Inter. Kulingana na Cesar Luis Merlo …
Marseille Inavutiwa na Beki wa Pembeni wa Roma Karsdorp
Olympique Marseille wanafikiria kumnunua Rick Karsdorp na wanaweza kuanzisha mazungumzo na Roma siku zijazo. Beki huyo wa pembeni wa Uholanzi mwenye miaka 28, hakuwa na msimu rahisi msimu uliopita, …
City Wanamuwania Nyota wa Inter Barella
TMW wanadai kuwa Manchester City watatafuta kumnunua nyota wa Inter Nicolo Barella iwapo watamuuza Bernardo Silva. Ripoti hiyo inaeleza jinsi City kwa sasa wanajadili uwezekano wa kuuzwa kwa winga …
Milan Wanakaribia Kukamilisha Dili na Villarreal kwa Chukwueze
Mshambuliaji wa Villarreal na mchezaji wa kimataifa wa Nigeria, Samuel Chukwueze anakaribia kupata uhamisho wa kwenda Milan baada ya majadiliano mazuri kati ya klabu hizo mbili Jumatano. Taarifa kutoka …
Nyota wa Italia na PSG Donnarumma Avamiwa Nyumbani Kwake
Ripoti nyingi zinadai nyota wa Italia na PSG Gianluigi Donnarumma alifanyiwa uvamizi na kuibiwa nyumbani kwake huko Paris jana usiku. Vyombo vya habari vya Ufaransa Actu 17 na vyanzo …

