Arsenal Dhidi ya Manchester United Usiku wa Leo
Klabu ya Arsenal leo itashuka dimbani kumenyana na klabu ya Manchester United katika mchezo wa kirafiki ambao pia ni maalumu kwa maandalizi ya kuelekea msimu ujao wa 2023/24. Arsenal baada …
Miquisonne Ni Mnyama Tena
Aliyekua mchezaji wa klabu ya Al-Ahly ya nchini Misri Luis Jose Miquisonne ametambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu ya Simba mapema leo. Luis Jose Miquisonne baada ya tetesi za …
Chelsea Wamfukuzia Kudus
Klabu ya Chelsea ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Ajax Amsterdam kwajili ya kumsajili mshambuliaji wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Ghana Mohammed Kudus. Klabu ya Chelsea bado haijaweka …
De Zerbi: Caicedo Bado Yupo na sisi
Kocha wa klabu ya Brighton Hove and Albion Roberto de Zerbi amesema kiungo wa klabu hiyo Moises Caicedo ataendelea kusalia klabuni hapo mpaka mmiliki wa klabu atakapobadilisha mawazo. Kocha De …
Mbappe Awekwa Sokoni na PSG
Kylian Mbappe ameachwa nje katika ziara ya Paris Saint Germain ya Japani ya kujiandaa na msimu mpya. Kikosi kitakachofuatana na kocha mpya Luis Enrique kwenye ndege siku ya leo …
Ten Hag: Suala la Greenwood Lipo juu ya Klabu
Kocha wa klabu ya Manchester Erik Ten Hag amesema suala la winga wa klabu hiyo ambaye amekua nje ya uwanja muda mrefu Mason Greenwood litaamuliwa na klabu. Mason Greenwood amekua …
Gamondi Aifungukia mechi ya Kaizer Chiefs
Kocha Mkuu Wa Yanga Sc Miguel Gamondi amesema kuwa anajua ukubwa wa siku ya Mwananchi na anaelewa ukubwa wa mechi yao na Kaizer Chiefs. Akizungumzamara ya kwanza mbele ya waandishi …
Kaizer Chiefs Waingilia Dili la Miquisonne
Taarifa kutoka Afrika kusini Zimethibitisha kuwa Klab ya Kaizer Chiefs nayo imeingia kwenye Mbio za kuiwania saini ya Winga Luis Miquissone. Hapo awali ilifahamika kuwa Luis Miquessone atajiunga na Simba …
Simba Wanajua wanachotaka kwa Chama
UONGOZI wa Simba umeibuka baada ya kukamilisha suala la kiungo wake Mzambia, Clatous Chama aliyegomea kambi ya nchini Uturuki kwa kutamka kuwa hawakuwa na hofu ya nyota huyo kutimka kikosini …
PSG Waingia Vitani na Man United kwa Hojlund
Klabu ya PSG imeamua kuingia vitani jumlajumla na klabu ya Manchester kwa mshambuliaji wa klabu ya Atalanta na timu ya taifa ya Denmark Rasmus Hojlund. PSG wanaripotiwa kua tayari kutoa …

