Chelsea Wanapoteza Uvumilivu Juu ya Lukaku
News

Kwa mujibu wa gazeti la La Gazzetta dello Sport, Chelsea wanapoteza uvumilivu na Romelu Lukaku, ambaye hataki kuhamia Saudi Arabia na anaendelea kusubiri klabu mpya ya Ulaya.   Gazeti hilo …

Soma zaidi
Fernandes: “Ni Wakati wa Utd Kuthibitisha Kuwa ni Timu Kubwa”
Daily News

Bruno Fernandes ana imani Manchester United itathibitisha kuwa ni timu kubwa inapojaribu kutinga hatua ya kwanza ya kampeni chini ya Erik ten Hag.   Wakati huu mwaka jana, Mholanzi huyo …

Soma zaidi
Balogun Asisitiza Anataka Kucheza Huku Inter Ikiandaa Ofa kwa Arsenal
Daily News

Mshambuliaji wa Arsenal, Folarin Balogun anasisitiza kuwa anataka kucheza msimu huu, huku ripoti nchini Italia zikidai Inter wako tayari kutoa ofa ya ufunguzi kwa The Gunners.   The Nerazzurri wanasaka …

Soma zaidi
Inter Yatangaza Kikosi kwa Ajili ya Ziara ya Maandalizi ya Msimu Mpya Nchini Japan
Serie A

Inter wametangaza rasmi kikosi chao kwa ajili ya ziara yao ya kujiandaa na msimu ujao nchini Japan, ambapo watacheza mechi mbili za kirafiki.   Nerazzurri tayari wamekuwa wakifanya kazi kwa …

Soma zaidi
Pogba Hafanyi Mazoezi na Kikosi cha Juventus kwenye Ziara ya Marekani
Daily News

Paul Pogba alijiunga na kikosi cha Juventus kwa ajili ya ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya nchini Marekani lakini hafanyi mazoezi na wachezaji wenzake.   Mfaransa huyo mwenye umri …

Soma zaidi
Inter Wanajadili Kuhusu Uhamisho wa Beki wa Atalanta Toloi
Daily News

Inter wanafikiria kwa dhati kutuma ofa kwa Atalanta kwa ajili ya kumnunua mlinzi Rafael Toloi, na kuachana na Merih Demiral aliyelengwa hapo awali.   Nerazzurri ilipoteza walinzi wawili mwanzoni mwa …

Soma zaidi
Wilfred Zaha Kutimkia Galatasaray
Daily News

Mshambuliaji Wilfred Zaha ambaye alikua anaitumikia klabu ya Crystal Palace anakaribia kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake kumalizika na Palace. Mabingwa wa soka nchini …

Soma zaidi
Mshambuliaji wa Roma Solbakken Amepata Jeraha la Misuli
Daily News

Matatizo ya majeraha ya Roma tayari yameanza kwani mshambuliaji wao Ola Solbakken amekuwa nje ya uwanja kutokana na tatizo la misuli.   Giallorossi kwa sasa wako nchini Ureno kwenye mapumziko …

Soma zaidi
Fulham Kumchukua Jimenez
Daily News

Klabu ya Fulham imefikia pazuri kwenye mazungumzo ya kumchukua mshambuliaji wa klabu ya Wolverhampton Wanderers Raul Jimenez raia wa kimataifa wa Mexico. Fulham chini ya kocha Marco Silva inataka kuhakikisha …

Soma zaidi
De Laurentiis Athibitisha Kandarasi Mpya ya Napoli kwa Di Lorenzo
Serie A

Rais wa Napoli Aurelio De Laurentiis amethibitisha kuwa nahodha Giovanni Di Lorenzo amesaini mkataba mpya wa muda mrefu.   Beki huyo wa kulia wa Kiitaliano mwenye umri wa miaka 29 …

Soma zaidi
1 2 3 424 425 426 427 428 429 430 2,270 2,271 2,272
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.