Aston Villa ya Unai inajipanga Kisawasawa
Klabu ya Aston Villa chini ya kocha Unai Emery ipo makini kwelikweli kwenye dirisha hili la usajili kwani mpaka sasa imefanikiwa kusajili wachezaji watatu muhimu. Aston Villa inafahamika wanaboresha timu …
Al-Nassr Wahamia kwa Baily
Klabu ya Al-Nassr ni kama wamehamia klabu ya Manchester United na kujichukulia wachezaji ambapo mpaka sasa wameshachukua wachezaji wawili na sasa wanamuhitaji Eric Baily. Beki Eric Baily mchezaji wa Manchester …
Milan Yamsajili Mshambuliaji wa Uswizi Okafor Kutoka Salzburg
AC Milan imemsajili mshambuliaji Noah Okafor kutoka Red Bull Salzburg ambaye ana miaka 23 kw amkataba wa miaka mitano hadi Juni 30 2028. Okafor alikuja kupitia safu ya vijana …
Thomas Partey Kusalia Arsenal Pamoja na Declan Rice
Kocha wa Arsenal Mikel Arteta ana imani Thomas Partey atasalia Emirates, licha ya kuwasili kwa nyota wa Uingereza Declan Rice. Kiungo huyo wa kati wa Ghana amekuwa akihusishwa na …
Chelsea Kumuuza Odoi Italia
Klabu ya Chelsea ina mpango wa kumuuza mchezaji wake raia wa kimataifa wa Ghana Callum Hudson Odoi nchini Italia katika klabu ya Lazio. Callum Hudson Odoi ambaye alikua kwa mkopo …
Alex Telles Atimkia Al-Nassr
Klabu ya Manchester United imemuaga aliyekua beki wake raia wa Brazil Alex Telles ambaye ametumkia Saudia Arabia katika klabu ya Al-Nassr kwa uhamisho wa kudumu. Klabu ya Manchester United imemuuza …
PSG wanata Euro Milioni 150 kwa Mbappe
Klabu ya PSG wameweka wazi kiasi cha pesa ambacho wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji wao matata klabuni hapo Kylian Mbappe ambacho ni kiasi cha Euro milioni 150. Klabu ya PSG wamewka …
Bruno Fernandes Ampakulia Minyama Kinda Man United
Nahodha wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes amempakulia minyama kinda wa klabu hiyo Kobbe Mainoo ambaye amecheza vizuri katika mchezo wa jana dhidi ya klabu ya Arsenal. Bruno Fernandes …
Manchester United Yaichabanga Arsenal Marekani
Klabu ya Manchester United jana ilifanikiwa kuifunga klabu ya Arsenal katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu uliopigwa nchini Marekani. Mchezo huo uliopigwa usiku wa kuamkia leo katika dimba …
PSG Ngoma ngumu kwa Mbappe
Klabu ya soka ya PSG mabingwa wa soka nchini Ufaransa wana kibarua kizito kwa mshambuliaji wao nyota klabuni hapo Kylian Mbappe ambaye wamemueka kando. Jana PSG walitangaza kumueka pembene Mbappe …

