Donny Van De Beek Arejea na Goli Man United
Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United Donny Van De Beek amefanikiwa kucheza mchezo wake wa kwanza na klabu hiyo baada ya kutoka kwenye majeraha na kufanikiwa kufunga bao. Klabu ya …

Soma zaidi
Manchester United Kukipiga na Lyon
Daily News

Klabu ya Manchester United itashuka dimbani leo katika mchezo wake wa pili wa kujiandaa na msimu mpya kukipiga na klabu ya Olympique Lyon nchini Scotland. Manchester United watakua nchini Scotland …

Soma zaidi
Onana: Nataka Kushinda Taji la Ulaya na Man United
Daily News

Golikipa mpya ya Manchester United Andre Onana amesema anaamini atashinda taji la ligi ya mabingwa ulaya na klabu hiyo kutoka nchini Uingereza. Golikipa Onana ametoka kucheza fainali ya ligi ya …

Soma zaidi
Aubameyang Aibukia Marseille
Ligue 1

Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Arsenal,Barcelona na Dortmund Pierre Emerik Aubameyang amefanikiwa kujiunga na klabu ya Olympique Marseille. Aubameyang amejiunga na klabu ya Olympique Marseille kwa mkataba wa miaka …

Soma zaidi
Mendy Arejea Uwanjani Asaini Lorient
Ligue 1

Aliyekua beki wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Ufaransa Benjamin Mendy amefanikiwa kurudi uwanjani na amejiunga na klabu ya Lorient ya nchini Ufaransa. Benjamin Mendy ambaye …

Soma zaidi
Nabi Kocha Mpya Far Rabat
SOKA LA BONGO

NI rasmi Nasreddine Nabi (57) aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ametangazwa kuwa kocha wa mabingwa wa Morocco AS FAR Rabat. Ni mkataba wa miaka miwili amesaini kwa ajili ya …

Soma zaidi
Singida Wambakiza Atta Agyei
SOKA LA BONGO

Enock Atta Agyei :- Ni sehemu ya wachezaji wa Singida Fountain gates ambao wamesafiri na timu kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu mpya. Enock tangu …

Soma zaidi
Simba Kumshusha Mrithi wa Manula
SOKA LA BONGO

INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kipa wa kimataifa kuungana na timu hiyo ambayo imeweka kambi Uturuki. Yanga mlinda mlango namba ni raia wa Mali ambaye …

Soma zaidi
Marcus Rashford Yupo United Mpaka 2028
Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Marcus Rashford hatimae amesaini kandarasi yake mpya ya kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka 2028. Marcus Rashford ambaye alikua …

Soma zaidi
Man United Wamrudisha Jonny Evans
Daily News

Klabu ya Man United imemrudisha aliyekua beki wake Jonny Evans kwa mkataba wa muda mfupi beki huyo ambaye alikua anaitumikia klabu ya Leicester City ambayo imeshuka daraja msimu uliomalizika. Jonny …

Soma zaidi
1 2 3 431 432 433 434 435 436 437 2,270 2,271 2,272
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.