Nabi Kocha Mpya Far Rabat

NI rasmi Nasreddine Nabi (57) aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ametangazwa kuwa kocha wa mabingwa wa Morocco AS FAR Rabat.

Ni mkataba wa miaka miwili amesaini kwa ajili ya kuwatumikia mabingwa hao wa Morocco.NabiNasreddine Nabi ambaye ni raia huyo wa Tunisia alitangazwa kuachana rasmi na Yanga mwishoni mwa msimu wa 2022/23 ambapo alikuwa akihusishwa na klabu mbalimbali hapa barani Afrika ikiwa ni pamoja na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Esperance de Tunis ya nchini kwao Tunisia pamoja na AS FAR Rabat.
Hatimaye AS FAR Rabat imefanikiwa kuinasa saini ya kocha huyo aliyekuwa ndani ya Yanga.NabiAidha, Ikumbukwe kwamba alifanikiwa kuifikisha Yanga kwenye fainali za michuano ya shirikisho msimu wa 2022/23 huku ikishuhudiwa USM Alger ya Algeria ikitwaa ubingwa wa michuano hiyo, lakini pia kwa misimu miwili mfululizo ambayo Nabi amekuwa na Yanga,walikuwa imara kwenye mechi za mashindano.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.