Singida Wambakiza Atta Agyei

Enock Atta Agyei :- Ni sehemu ya wachezaji wa Singida Fountain gates ambao wamesafiri na timu kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu mpya.

Enock tangu asajiliwe na Singida FG (Zamani Singida Big Stars) hajafanikiwa kucheza mchezo wowote wa Ligi Kuu kufuatia sakata lake la kugomewa kwa Vitali vyake vya uhamisho wa kimataifa (ITC) na Horoxlya Ac ambayo alikuwa akiitumikia kabla ya kujiunga na Big Stars.singidaBaada ya sakata hilo kutokea klabu ya Singida Fountain gates [Zamani Singida Big Stars] iliamua kumuondoa nyota huyo kwenye mipango yake msimu uliopita.

Waliomsajili kwenye dirisha dogo la Usajili, Pia Atta Agyei ameahidi kuitumikia Azam FC,singidaImefahamika kuwa: Msimu huu atakuwa sehemu ya Kikosi cha Singida Fountain Gate.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.