Simba Kazi inaendelea Uturuki

MASTAA wa kikosi cha Simba ambao wamejiunga na timu hiyo Julai 18 wameanza mazoezi na wachezaji wengine waliotangulia.

Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikosi hicho kimeanza maandalizi ikiwa ni kwa ajili ya msimu wa 2023/24.
Ikumbukwe kwamba ni Yanga walitwaa ubingwa msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea nafasi ya pili.simbaNi Che Malone Fondoh, Willy Essomba Onana, Aubin Kramo na Jean Baleke wameanza mazoezi ya kurejesha mwili katika ubora.
Wachezaji wengine ambao wameanza mazoezi ni pamoja na nahodha John Bocco, Mohamed Hussein, Shomari Kapombe.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.