Taifa Stars Yapangwa na Nigeria Kufuzu Kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Tanzania (TaifaStars), imepangwa Kundi E katika makundi ya kufuzu Kushiriki Michuano ya Kombe la Dunia ya mwaka 2026

Katika droo iliyochezeshwa makundi 9 yenye timu 6 yamepangwa, Tanzania ipo Kundi moja na timu za Taifa za Zambia, Morocco, Congo, Niger na Eritreataifa starsMechi za Kufuzu zitaanza Novemba 2023, na Washindi wa kila Kundi watafuzu moja kwa moja kwenda kushiriki Kombe la Dunia katika nchi za Canada, Mexico na Marekani.taifa starsTimu 4 bora zilizoshika nafasi ya pili (Kutoka Makundi) zitacheza mechi za mtoano za CAF. Washindi watacheza mechi za mtoano za FIFA na timu itakayoshinda itaenda kushiriki Kombe la Dunia kama timu ya 10 kutoka Afrika ambapo Taifa Stars wana nafasi ya kufanya maajabu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.