Manchester City Waweka 90 kwa Rice
Klabu ya Manchester City wamefanikiwa kupeleka ofa kwa klabu ya West Ham kwajili ya kiungo wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Uingereza Declan Rice. Manchester City wamepeleka kiasi cha …
Manara: Yanga Inaweza Kuinunua Simba
Kauli yenye kuudhi haswa, Yanga kuinunua Simba kutokana na utamaduni wa mpira wetu wa Tanzania ambao umegawanyika kwenye makundi makuu mawili, Simba na Yanga na tayari Haji Manara ameshaitoa kauli …
Mzamiru Akubali Kuitwa Kiungo Punda
Kiungo Punda, ndiyo jina ambalo linapendwa na watu wengi sana kumtambulisha au kumuita kiungo wa Simba Mzamiru Yassin kutokana na kazi kubwa ambayo anafanya akiwa uwanjani. Mzamiru amefunguka kwa mara …
Kichuya Afunguka Kurudi Tena Simba
Kiungo aliyewahi kutamba katika klabu za Mtibwa na Simba kwa sasa akiwa anakipiga kwenye klabu ya Namungo Shiza Kichuya ameweka wazi matamanio yake ya kurejea timu kubwa ikiwemo Simba aliyowahi …
Torino Wanaandaa Ofa Mpya kwa Vlasic Anayecheza kwa Mkopo West Ham
Torino wanaelekeza nguvu zao katika kumpata mshambuliaji anayemilikiwa na West Ham Nikola Vlasic na wameripotiwa kuandaa ofa mpya. Mchezaji huyo wa Croatia mwenye umri wa miaka 25 alijiunga na …
Milan Wafungua Mazungumzo Kwaajili ya Mkopo wa PSG Icardi
Mauro Icardi alianza tena soka lake kwa msimu mzuri akiwa kwa mkopo Galatasaray na Milan wameripotiwa kuwasiliana na Paris Saint-Germain ili kuchunguza uwezekano wa kuhama. Muargentina huyo mwenye umri …
Rabiot Achagua Hatma Yake Kati ya United na Juventus
Adrien Rabiot amepokea ofa kutoka kwa Manchester United na sasa anatafakari kuhusu mustakabali wake huku Juventus wakifikiria kuongeza pendekezo lao. Mkataba wa Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 28 …
Pogba Amepunguza Likizo Kwaajili ya Juventus
Paul Pogba amedhamiria sana kuufanya msimu huu kuwa wa mafanikio kwa Juventus baada ya majeraha yake mengi hivyo anakatisha likizo yake kwa wiki moja. Kiungo huyo wa kati anakiri …
Milan, Inter na Juventus Wapo Katika Nafasi ya Kumuwania Meunier
Milan, Juventus na Inter wote wanaripotiwa kumtaka beki wa kulia wa Borussia Dortmund, Thomas Meunier, lakini Aston Villa ndio wanapendelea zaidi. Kulingana na gazeti la Ujerumani la Bild, klabu …
Verona Wanakabiliwa na Uamuzi wa Baroni kuwa Kocha
Hellas Verona wanaongoza mbio za kumpata kocha wa zamani wa Lecce Marco Baroni, ingawa wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa Spezia na matatizo machache ya ndani pia. Kwa mshangao, Baroni …

