Juventus Wanaimarisha Mazungumzo na West Ham Kwaajili ya Kumuuza Zakaria
Juventus wako kwenye mazungumzo ya juu ya kumuuza kiungo wa kati Denis Zakaria kwa West Ham United, na kurejea Ligi Kuu baada ya muda wa mkopo akiwa na Chelsea. …
Vilabu vya Saudi Vinamjaribu Kumsajili Dybala
Kulingana na Il Corriere dello Sport, vilabu vya Saudi vinamjaribu Paulo Dybala kuondoka Roma, huku Giallorossi wakiwa na wasiwasi wa kumpoteza nyota wao kwa kuzingatia kifungu chake cha €12m. …
Weah Amejiunga na Juventus Kutoka Lille
Juventus wamefikia makubaliano kamili ya kumsajili Timothy Weah ambaye atafanyiwa vipimo vya afya na Bianconeri siku zijazo. Romeo Agresti na Fabrizio Romano wanathibitisha kuwa Bibi kizee wamefikia makubaliano na …
Bayern Munich Wamuibukia Harry Kane
Klabu ya Bayern Munich imetaarifiwa kutuma ofa kwa klabu ya Tottenham kwajili ya kupata huduma ya mshambuliaji wa klabu hiyo nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza Harry Kane. Bayern …
Milan Wanajiandaa kwa Matibabu ya Loftus-Cheek Baada ya Makubaliano na Chelsea
Vyanzo vingi vya habari nchini Italia vinadai kuwa Milan wanajiandaa kumfanyia vipimo Ruben Loftus-Cheek baada ya kufikia makubaliano na Chelsea. Calciomercato.com na Sky Sport Italia zinadai kuwa Rossoneri wamefikia …
Mkurugenzi wa Inter Anarejea Uingereza kwa Mazungumzo na Chelsea na Utd Kuhusu Lukaku na Onana
Ripoti kutoka Italia zinadai Mkurugenzi wa Inter Piero Ausilio amerejea Uingereza kukutana na Chelsea na Manchester United na kuendelea na mazungumzo ya kuwanunua Romelu Lukaku na André Onana. The …
United na Chelsea Wanachuana Dhidi ya Caicedo
Moises Caicedo yuko tayari kuondoka Brighton lakini kiungo huyo bado hajajua anakwenda wapi mpaka sasa huku kukiwa na uvumi wa kuhamia kati ya United au Cheslea, Arsenal pia ikihusishwa. …
Tottenham na Maddison Wamalizana
Klabu ya Tottenham Hotspurs imefikia makubaliano binafsi na mchezaji huyo wa klabu hiyo ya Leicester City James Maddison na mpaka kufikia hatua hiyo wako mbioni kumsajili mchezaji huyo. Kiungo James …
PSG Wachukua Beki Bayern Munich
Klabu ya PSG iko mwishoni kukamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Ufaransa anayekipiga klabu ya Fc Bayern Munich Lucas Hernandez kwajili ya kujiandaa na msimu ujao. Klabu ya PSG …
Mashabiki wa Man United Waandamana
Mashabiki wa klabu ya Man United wamejitokeza kwenye moja ya jengo la klabu hiyo kwajili ya kushinikiza wamiliki wa klabu hiyo Familia ya Glazers kuiachia timu hiyo. Mashabiki hao wa …

