Arteta Alenga Kujenga Timu Itakayoshinda Baada ya Kuvunjika Moyo Msimu Uliopita
Daily News

Mikel Arteta amefichua kuwa analenga kujenga timu yenye uwezo wa kushinda Ligi Kuu baada ya timu yake kudorora mwishoni mwa msimu uliopita.   The Gunners walimaliza nafasi ya pili nyuma …

Soma zaidi
Manchester United Hawaongezi Hela kwa Mount
Daily News

Klabu ya Manchester United imeripotiwa haina mpango wa kuongeza dau kwajili ya kiungo wa klabu ya Chelsea Mason Mount baada ya ofa yao ya tatu kukataliwa. Chelsea wamekataa ofa tatu …

Soma zaidi
City Yakubaliana Masharti Binafsi na Gvardiol wa Leipzig
Daily News

Mabingwa wa Ligi kuu ya Uingereza na washindi wa Treble Manchester City wameripotiwa kukubaliana na RB Leipzig prodigy Josko Gvardiol.   Mtaalamu wa masuala ya uhamisho Fabrizio Romano anaripoti kuwa …

Soma zaidi
Lisandro Martinez Arejea Kiwanjani
Daily News

Beki wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Argentina Lisandro Martinez hatimae ameonekana kurejea kiwanjani baada ya kupata majeraha yaliyomueka nje kwa miezi takribani miwili. Lisandro Martinez …

Soma zaidi
CAF SUPER LEAGUE KUANZA OKTOBA
SOKA LA BONGO

Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe amethibitisha kuwa michuano ya African Super League itaanza kutimua vumbi mwezi Oktoba mwaka huu na kuongeza kwamba kutakuwa na jina …

Soma zaidi
Yanga Yamkomalie Mayele
SOKA LA BONGO

WAKATI akiwa anatajwa kutaka kuondoka ndani ya kikosi cha Yanga mabosi wamemkomalia nyota wao mwenye mabao 24 katika mashindano ya Kombe la Shirikisho na Ligi Kuu Bara. Ni Fiston Mayele …

Soma zaidi
Yanga Wagawa Thank You kwa Wanne
SOKA LA BONGO

WAKATI Simba wameshaacha jumla ya wachezaji saba hadi Sasa Kwa upande wa Wananchi ni MASTAA wanne wameachwa mazima ndani ya kikosi cha Yanga kuelekea kwenye mpango kazi wa kuunda kikosi …

Soma zaidi
Hakimi Yuko Sana PSG
Ligue 1

Beki wa kulia wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Morocco Achraf Hakimi inaelezwa bado yupo sana ndani ya klabu hiyo ya mabingwa wa Ufaransa licha kutakiwa na …

Soma zaidi
Crystal Palace Inamtambua Schuurs Kama Mbadala wa Guehi
Daily News

Crystal Palace wameelekeza macho yao kwa mlinzi wa Torino Perr Schuurs huku wakitafuta mbadala wa Marc Guehi.   Beki huyo wa Uingereza mwenye umri wa miaka 22 ameng’ara London Kusini …

Soma zaidi
Roma Ina Mpango wa Kumsajili McKennie
Daily News

Mkurugenzi wa Roma Tiago Pinto ameripotiwa kuwasiliana na msafara wa Weston McKennie ili kuanza kuchunguza uwezekano wa kuhama.   Kiungo huyo wa kati wa Marekani mwenye umri wa miaka 24 …

Soma zaidi
1 2 3 460 461 462 463 464 465 466 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.