Tottenham Wanamfuatilia Beki wa Juventus Bremer
Gazeti la The Telegraph limeripoti kuwa, Tottenham wameanza kumfuatilia beki wa kati wa Juventus, Gleison Bremer huku wakitafuta njia za kuimarisha safu yao ya ulinzi. Beki huyo wa kati …
Napoli Inalenga Kumnunua Mchezaji wa Real Sociedad Kubo
Napoli wanatafuta mbadala wa Hirving Lozano na wamemtambua Takefusa Kubo wa Real Sociedad kama chaguo thabiti kwao. Napoli wanaonekana kuwa katika hali ya mabadiliko kufuatia mafanikio yao ya hivi …
Kocha wa Juventus, Allegri Apagawa na Ofa Nono ya Al Hilal
Rai Sport inataarifu kuwa, Massimiliano Allegri anajaribiwa kuiacha Juventus na kwenda Al Hilal baada ya kupokea ofa nono katika mkutano wa hivi majuzi. Haukuwa msimu rahisi kwa kocha huyo …
Thuram Ajiunga na Inter Milan Kama Mchezaji Huru
Inter wamemuiba Marcus Thuram kutoka chini ya pua za wapinzani wao Milan na yote yalikua ndani ya saa 24 zilizopita. Vyanzo vingi sasa vina uhakika kuwa uamuzi huo umefanywa …
Nini Hatma ya Mbeya City Ligi Kuu?
Klabu ya Mbeya City inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kwaajili ya mchezo wa play off ya pili dhidi ya Mashujaa ya Kigoma ambapo mchezo huo utapigwa Dimba la Sokoine. …
Benitez Atatangazwa Kuwa Kocha Mpya wa Celta Vigo
Rafael Benitez anatarajiwa kuwa kocha mpya wa Celta Vigo ambayo ipo Uhispania. Klabu hiyo ya Uhispania imethibitisha makubaliano ya kimsingi yamefikiwa kwa kocha wa zamani wa Liverpool, Newcastle na …
Manchester United Watuma Ofa ya Ttau kwa Mount
Klabu ya Manchester United imeripotiwa kutuma ofa ya tatu kwa kiungo wa klabu ya Chelsea raia wa kimataifa wa Uingereza Mason Mount baada ya ofa mbili za mwanzo kukataliwa. Manchester …
Nyota wa Napoli Lozano Yuko Tayari Kujiunga na Vilabu vya Saudia
Sky Sport Italia inasema kuwa, winga wa Napoli Hirving Lozano amekuwa akilengwa na vilabu vya Saudia na yuko tayari kuhama. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Mexico amebakiza mwaka mmoja …
Greenwood Aonekana Kiwanjani kwa Mara ya Kwanza
Winga wa klabu ya Manchester United Mason Greenwood ambaye amekua nje ya kiwanja kwa takribani mwaka mmoja na nusu ameonekana kiwanjani kwa mara ya kwanza. Greenwood jana ameshuhudiwa akiwa kiwanjani …
Ambundo Kurejea Tena Dodoma Jiji
BAADA ya kupewa mkono wa asante ndani ya kikosi cha Yanga winga Dickson Ambundo kuna uwezekano mkubwa akarejea katika kikosi cha Dodoma Jiji. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino …

