Ambundo Kurejea Tena Dodoma Jiji

ambundo

BAADA ya kupewa mkono wa asante ndani ya kikosi cha Yanga winga Dickson Ambundo kuna uwezekano mkubwa akarejea katika kikosi cha Dodoma Jiji. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Ambundo anaingia kwenye rekodi ya kuwa mzawa aliyeingia kwenye orodha ya wachezaji waliofika katika hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kugotea nafasi ya pili.

Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Pia akiwa Yanga ni miongoni mwa waliotwaa mataji ya ligi mara mbili ikiwa ni msimu wake wa kwanza 2021/22 na 2022/23 baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Dodoma Jiji.

Taarifa zinaeleza kuwa Dodoma Jiji wapo kwenye mpango wa kufanya maboresho kwenye kikosi hicho na miongoni mwa nyota wanaotajwa ni pamoja na Ambundo kutoka Yanga.

Ikumbukwe kwamba kwa msimu wa 2022/23 Ambundo akiwa na uzi wa Yanga alicheza mechi 13 na kukomba dakika 454 alitoa pasi moja ya bao.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Ofisa Habari wa Dodoma Jiji, Moses Mpunga amesema kuwa mipango iko poa.
“Kuhusu usajili wa nani atakuja ama nani ataondoka ni ripoti ya benchi la ufundi itasema hivyo ni jambo la kusubiri na kuona,”

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe