Kikosi Cha timu ya Taifa ya Tanzania kimetangazwa Leo huku kikiwa na Wachezaji 27. Mjadala mkubwa imekuwa ni kuachwa Kwa nyota wa Klabu ya Yanga, Deus Kaseke.

kaseke

Msimu huu Kaseke amefunga magoli 6 VPL, 2 FA na ASSIST 5 VPL. kwa maana hiyo amehusika kwenye magoli 13 jumal hadi sasa ndani ya mashindano yote.

Mada Yangu siyo Deus Kaseke kuachwa, naamini ni mchezaji anayefanya vizur Kwa sasa na ki haki yake kulitumiki Taifa Kwa sasa, Ila Kim hajaona mahitaji yake Kwa kipindi hiki, subiri wakati mwingine.

Namtazama Kijana aliyeanzia maisha yake ya VPL pale Mbao FC mwaka 2016, baadae Alliance FC msimu wa 2018 baadae akatimukia Gor Mahia FC ya Kenya na kufanikiwa Kucheza Klabu bingwa Afrika na baadae Kombe la Shirikisho.

Mwaka 2020 akatua Dodoma Jiji FC. Msimu wake huu wa kwanza tayari Ambundo ameshaonyesha Ile thamani iliyomvusha mipaka kwenda Kenya. VPL hadi sasa magoli 3, ASSIST 7 na FA magoli 2. Jumla amehusika kwenye magoli 12 nje ya Assist za FA.

Takwimu zake zinaweza zisiwe kivutio kikubwa sana, ila kikubwa ni namna anavyocheza. Yupo Dodoma Jiji, timu ya kiwango cha daraja la kati lakini uchezaji wake ni wa kiwango cha daraja la juu. Miaka yake ni 25 sasa ni kipindi cha kuanza kulitumikia Taifa kwani Kwa mtazamo wangu naona anakidhi kabisa.

Kim Poulsen ana haja ya kumuangalia Dickson Ambundo Kwa mara nyingine tena,kabla ya kumuacha, najua hizi mechi za kirafiki ndo zinazowahusu Wachezaji wa aina yake.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa