Mashabiki wa Man United Waandamana

Mashabiki wa klabu ya Man United wamejitokeza kwenye moja ya jengo la klabu hiyo kwajili ya kushinikiza wamiliki wa klabu hiyo Familia ya Glazers kuiachia timu hiyo.

Mashabiki hao wa Man United wenye hasira kali wamekua hawafurahishwi na mwenendo wa klabu hiyo kipindi cha hivi karibuni, Huku wakiamini watu wanaoikwamisha klabu hiyo ni wamiliki hao hivo wanataka waiachie timu hiyo mara moja.Man UnitedKlabu hiyo iliwekwa sokoni tangu mwaka jana mwishoni na mpaka sasa hawajatoa muafaka wa klabu hiyo itauzwa kwa nani, Kitu ambacho mashabiki hao wanaona kama wamiliki hao wanataka kuifelisha klabu hiyo kuelekea msimu ujao.

Mashabiki hao wa Man United wamekua wakileta pingamizi mara kwa mara kwa wamiliki wa klabu hiyo kutokana na mwenendo wa klabu yao pendwa, Hivo shinikizo kubwa kwa wamiliki hao ni kutaka kuiachia klabu hiyo mapema.Man UnitedMan United imekua sokoni tangu mwaka jana mwishoni na wanunuzi wamejitokeza lakini mpaka sasa haijafahamika ni nani haswa ataichukua klabu hiyo, Kitu ambacho mashabiki wa timu hiyo hawajapendezwa nayo na ndio sababu ya kufanya maandamano leo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.