Alex Mpini Bondia Mtanzania Kupigana na Mualgeria
Mtanzania Alex Mpini Kushuka Ulingoni leo| Uzito wa Juu 92kg| Bashiri Meridianbet Cheza Kasino ya Mtandaoni ushinde. Bondia Alex Sita Mpini anatarajiwa kupanda ulingoni leo mchana kupigana dhidi ya Mourad …
Toddy Boehly Awataka Mashabiki Chelsea Kuwa na Subira
Mmiliki na bosi wa Chelsea Todd Boehly amewataka mashabiki wa timu hiyo wawe na subira na kuahidi kuwa watalitatua suala la matokeo mabaya linaloikumba timu hiyo. Odds kubwa za soka …
Haaland Aweka Rekodi Mpya ya Mabao Msimu Huu wa Ligi Kuu
Erling Haaland amevunja rekodi ya kufunga mabao mengi zaidi katika kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kufunga bao lake la jana akiwa na Manchester City dhidi ya West …
Simba Yadondosha Pointi Lindi
Klabu ya Simba imedondosha pointi mbili hapo jana na kuambulia moja kwenye mchezo wao wa jana dhidi ya Namungo FC walipokuwa ugenini na kutoka sare ya 1-1. Mechi hiyo …
Zinchenko Agoma Kukata Tamaa
Beki wa klabu ya Arsenal raia wa kimataifa wa Ukraine Oleksandr Zinchenko amegoma kukata tamaa juu ya taji la ligi kuu ya Uingereza na anaona bado wana nafasi ya kutwaa …
Barcelona Wanahitaji Alama Tatu tu Kua Mabingwa
Klabu ya Barcelona inahitaji alama tatu tu kutawazwa kua mabingwa wa ligi kuu ya Hispania La Liga kwa mwaka 2023 na kuwavua ubingwa mahasimu wao klabu ya Real Madrid ambao …
Messi Kutimka PSG Mwishoni mwa Msimu Huu
Staa wa klabu ya PSG Lionel Messi taarifa zinaeleza ataondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu huku akihushwa na kurejea ndani yake ya zamani klabu ya Barcelona. Messi …
Ferdinand Ajumuishwa Kwenye Kikosi Cha Heshima Epl
Beki wa zamani wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Uingereza Rio Ferdinand amefanikiwa kujumuishwa kwenye kikosi cha heshima cha ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Premier League …
Simba kamili kuwamaliza Namungo usiku wa leo
JUMA Mgunda, kocha msaidizi wa Simba amesema maandalizi yote kwa ajili ya mchezo mgumu dhidi ya Namungo yamekamilika. Timu hii inatarajiwa kumenyana na Namungo kwenye mchezo wa mzunguko wa pili …
Bellingham Kutua Madrid ni Suala la Muda
Kiungo wa kimataifa wa Uingereza anayekipa klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani Jude Bellingham inaelezwa yuko kwenye hatua za mwisho kumalizana na klabu ya Real Madrid ili kujiunga na mabingwa …

