Mwingine Kutoka Utd Kumfuata Ronaldo Al-Nassr
Cristiano Ronaldo huenda akakutana tena na mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United Alex Telles katika dirisha lijalo la usajili wa kiangazi. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya …
Arsenal Wana Nafasi ya Kupata Kombe Hata Wakikosa EPL
Manchester City wana uhakika wa kushiriki katika Ngao ya Jamii msimu huu wa joto huku wakiwinda mataji matatu ya kihistoria mfululizo na wakati huo wapinzani wao kwenye ligi Arsenal wakipambana …
Man Utd na PSG Watuma Watu Kumfatilia Tammy Abraham
Mshambuliaji wa Roma Tammy Abraham ameripotiwa kuwindwa na vilabu vya Manchester United na Paris Saint-Germain. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua …
Simba na Yanga Yamefanya Makubwa Kimataifa
Ameandika mtangazaji Pascal Kabombe; Baada ya Yanga SC kuingia hatua ya nusu fainali kwenye kombe la shirikisho kumekuwa na mlinganisho wa mafanikio kwa timu hiyo na Simba SC. Baada ya …
Je Danny Ings ni Chanzo cha Everton Kuburuza Mkia?
Imeelezwa kuwa klabu ya Everton hawangekuwa kwenye vita vya kushushwa daraja kama wangemnunua mshambuliaji wa West Ham Danny Ings alipoondoka Aston Villa mwezi Januari. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet …
Masharti 3 Yanahitajika kwa Lukaku Kusalia Inter
Haitakuwa rahisi kwa mchezaji wa Chelsea aliyecheza kwa mkopo Romelu Lukaku kusalia Inter, akihitaji masharti matatu kutimizwa kusalia katika mji mkuu wa Lombardy msimu ujao. Mshambuliaji huyo wa Ubelgiji …
Rashford Amsaidia Mchezaji wa Aston Villa
Imeripotiwa kuwa Marcus Rashford alimsaidia mchezaji wa Aston Villa Alisha Lehmann baada ya kuandamwa na watu katika kumbi ya starehe huko Manchester. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya …
Mourinho Aikataa Chelsea Akisema Anataka Kusalia AS Roma
Jose Mourinho aliripotiwa kukataa mpango kutoka kwa Chelsea wakati akisubiri kufafanua mustakabali wake na Roma. Mustakabali wa kocha huyo Mreno mwenye umri wa miaka 60 umekuwa mjadala mkubwa katika …
Azam FC Yamtambulisha Youssouph Dabo Kama Kocha Mkuu Msimu Ujao
Klabu ya Azam FC wamefanya usajili wa kocha mkuu anayejulikana kwa jila la Youssouph Dabo kutoka Senegal kwa ajiili ya kuinoa timu hiyo kwa mkataba wa miaka 03 kuanzia …
United, Spurs na Everton Wako Tayari kwa Vita ya Uhamisho wa Maddison
Timu nyingi Uingereza kaka United, Spurs, na Everton wanamtaka Maddison lakini Leicester watamnunua mchezaji huyo msimu huu wa joto bila kujali jinsi pambano lao la kusalia Ligi kuu linavyozidi. …

