Simba Yaifuata Namungo Lindi
SOKA LA BONGO

Klabu ya Simba imeanza safari hii leo ya kuifuata Namungo FC kwaajili ya mchezo wao wa ligi kuu ya NBC ambao unatarajiwa kupigwa siku ya Jumatano katika dimba la Majaliwa. …

Soma zaidi
Howe Hana Shaka Gordon Atakuwa Mchezaji Bora wa Newcastle
Daily News

Eddie Howe ana uhakika Anthony Gordon atakuwa mchezaji bora wa Newcastle inayofukuzia Ligi ya Mabingwa licha ya kuifunga mapema Southampton.   Usajili huo wa pauni milioni 45 Januari ulianza mara …

Soma zaidi
Alvarez: “Kila Mchezo ni Fainali Kwetu”
Daily News

Julian Alvarez anasisitiza “kila mchezo ni fainali” kwa Manchester City baada ya bao lake la ushindi dhidi ya Fulham kupeleka vijana wa Pep Guardiola kwenye kilele cha msimamo wa Ligi …

Soma zaidi
Jota Atangaza kuwa Liverpool Wamerudi Kwenye Ubora Wao
Daily News

Diogo Jota ametangaza kuwa Liverpool “wamerudi” baada ya bao lake la dakika za mwisho na kuwapa ushindi wa 4-3 Tottenham kwenye Uwanja wa Anfield.   Liverpool walionekana kupata ushindi mnono …

Soma zaidi
Klopp: ‘Tuna Historia Yetu’, Mwamuzi Tierney Ajiwa Juu na Kocha Huyo
Daily News

Jurgen Klopp alimkosoa mwamuzi Paul Tierney baada ya kufanya msururu wa maamuzi tata katika ushindi wa Liverpool wa 4-3 dhidi ya Tottenham, akisema kuwa hajui kocha huyo ana nini dhidi …

Soma zaidi
PSG Yapoteza Nyumbani, Achraf Alamba Umeme
Ligue 1

Klabu ya PSG wamepokea kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Lorient hapo jana ambapo baada ya Achraf Hakimi kutolewa nje kwa kadi nyekundu walibaki 10 pekee uwanjani na kuwafanya timu …

Soma zaidi
Yanga Yaandika Historia Yatinga Nusu Fainali Shrikisho
SOKA LA BONGO

Klabu ya Yanga imefanikiwa kuandika Historia kwa kutinga hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kuitupa nje Rivers United ya Nigeria kwa jumla ya mabao …

Soma zaidi
Liverpool Bado Wanaivizia Top Four
Daily News

Klabu ya Liverpool bado hawajaikatia tamaa nafasi kua kwenye timu nne za juu ambazo zitashiriki ligi ya mabingwa ulaya msimu ujao baada ya kufanikiwa kushinda mchezo wake dhidi ya Tottenham …

Soma zaidi
Bayern Munich Yarejea Kileleni Bundesliga
Bundesliga

Klabu ya Bayern Munich leo imefanikiwa kurejea kwenye njia ya ushindi baada ya kufanikiwa kushinda kwa mabao mawili dhidi ya klabu ya Hertha Berlin katika mchezo wa ligi kuu ya …

Soma zaidi
Newcastle, Man United Vita ya Top Four Bado Mbichi
Daily News

Klabu ya Newcastle na Manchester United bado vita ya top four ni mbichi baada ya kushinda michezo yao wote siku ya leo katika ligi kuu ya Uingereza na kendelea kufanya …

Soma zaidi
1 2 3 519 520 521 522 523 524 525 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.