Manchester City Yakaa Kileleni Ligi Kuu ya Uingereza
Klabu ya Manchester City imefanikiwa kukaa kileleni kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kufanikiwa kushinda mchezo wao dhidi ya klabu ya Fulham mchezo uliopigwa katika dimba la …
Napoli Kutangaza Ubingwa Leo Wakishinda
Klabu ya Napoli inayoshiriki ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A wanaweza kutangaza ubingwa leo endapo watashinda mchezo wake dhidi ya klabu ya Salernitana mchezo utakaopigwa katika dimba la …
Mourinho Alalamikia Majeruhi ya Roma na Haki ya Michezo ya Italia
Jose Mourinho anaelezea hali mbaya ya majeruhi ya Roma baada ya kutoka sare na Milan na kuupinga mfumo wa haki wa michezo wa Italia uliochafuka akisema kuwa anajua jambo la …
Osimhen Ajibu Uvumi wa Uhamisho wa PSG huku Akilengwa Pia na Utd
Ripoti kutoka Ufaransa zinadai Victor Osimhen yuko kwenye mazungumzo ya kina na PSG, lakini wasaidizi wa mshambuliaji huyo wanadai kuwa ni “habari za uwongo” na kusisitiza kuwa ni “mapema sana …
Dyche Asisitiza Everton Inahitaji Kufanya Maboresho Haraka Ili Kusalia EPL
Meneja wa Everton Sean Dyche anaamini ulaini umeingia kwenye mchezo wa timu yake ambao umezuia jitihada zao za usalama wa Ligi kuu ya Uingereza. Mbio za mechi 10 na …
United Wanaweza Kumpata Neymar Iwapo Mauzo ya Klabu Yatafanikiwa
Manchester United wanaweza kumpata nyota wa Paris Saint-Germain Neymar msimu huu wa joto ikiwa Glazers watafanikiwa kuipiga mnada klabu hiyo. Mfanyabiashara wa benki kutoka Qatar Sheikh Jassim bin Hamad …
Guardiola: “De Bruyne Avuna Matunda ya Kukaa Benchi City”
Pep Guardiola anaamini Kevin De Bruyne sasa anavuna manufaa kutokana na kukaa muda kwenye benchi ya Manchester City. Mchezaji huyo wa Ubelgiji alikuwa bora wakati City ikiwinda mara tatu …
Toure Atabiri Pambano la Haaland-Mbappe Litachukua Nafasi ya Mdahalo wa Messi-Ronaldo
Kolo Toure haoni sababu kwa nini Erling Haaland na Kylian Mbappe hawawezi kuchukua nafasi ya ushindani mkubwa wa soka. Haaland alifunga bao lake la 49 msimu huu Manchester City …
Simba Yaondolewa Kibishi Ligi ya Mabingwa
Klabu ya Simba imeondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika na Wydad Casablanca baada ya wachezaji wao wawili Shomari Kapombe na Cloutus Chama kukosa mikwaju ya penalti 4-3. …
Tuchel Aiambia Bayern Munich Kuonyesha Kiwango Bora
Thomas Tuchel amekiri kwamba Bayern Munich wamefikia hatua ambapo “hakuna kitu rahisi” huku akitaka timu yake inayoyumba ionyeshe hisia ya kupoteza nafasi ya kwanza kwenye Bundesliga. Tuchel hakuamua iwapo …

