Pioli: Pambano la Milan na Roma Lina Thamani Maradufu Katika Mbio za Nne-Bora
Kocha mkuu wa Rossoneri Stefano Pioli amesema kuwa mchezo wa AC Milan dhidi ya Roma siku ya leo una thamani maradufu huku timu zote zikiwania kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa. …
Mason Anahisi Ukuu wa Kane Utasherehekewa Tu Atakapostaafu
Kaimu kocha mkuu wa Tottenham Ryan Mason anaamini kuwa ukuu wa Harry Kane utasherehekewa tu atakapostaafu soka. Kane aliisaidia Spurs kujibu baada ya wikendi iliyopita kufedheheshwa na Newcastle kwa …
Garnacho Asaini Mkataba wa Muda Mrefu United
Alejandro Garnacho amesaini mkataba mpya wa muda mrefu na Manchester United. Winga huyo mwenye umri wa miaka 18 siku ya leo aliweka bayana kwenye mkataba wa kumuweka kwenye klabu hiyo …
Xavi: Barcelona Watamjadili Messi Baada ya Sisi Kushinda LaLiga
Kocha mkuu wa Barcelona Xavi ameshangazwa na swali kuhusu Lionel Messi na Bruce Springsteen siku ya Ijumaa, lakini akasema klabu hiyo itajadili uwezekano wa kumnunua Messi mara tu watakaposhinda taji. …
Modric Hatiani Kuikosa Fainali ya Copa del Rey Baada ya Kupata Jeraha
Luka Modric anaweza kukosa mechi ya fainali ya Copa del Rey ya Real Madrid dhidi ya Osasuna na mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya …
Mata: Ninapofikiria Ligi ya Mabingwa… Lazima Awe Drogba
Juan Mata amemtaja Didier Drogba kuwa ndiye mchezaji mwenzake bora aliyecheza naye pamoja kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Lionel Messi ndiye mpinzani anayeheshimika zaidi wa Mhispania huyo. Drogba, …
Rice Anaongoza Orodha ya Matamanio ya Arsenal Majira ya Kiangazi
Nahodha wa West Ham, Declan Rice yuko kileleni mwa orodha ya wachezaji wanaotamani Arsenal msimu wa kiangazi huku Mikel Arteta akijaribu kuleta nyongeza ya kiungo. Mchezaji huyo mwenye umri …
Howe Anasisitiza Kuwa Newcastle Wanataka Kucheza Ligi ya Mabingwa
Kocha wa Newcastle Eddie Howe hachukulii chochote kirahisi licha ya kurejea Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 akionekana kuwa na uhakika zaidi baada ya ushindi …
Son: Spurs Walitamani Sana Kukwepa Kupoteza Mchezo Mwingine
Heung-min Son anasema Tottenham walijua kwamba wasingweza kukubali kupata fedheha nyingine hapo jana katika uwanja wa nyumbani baada ya kupoteza wakiwa St James’ Park na jana wakapambana na kutoka sare …
Eriksen Anafikiri United Walikosa Udhibiti Katika Sare Dhidi ya Tottenham
Christian Eriksen anadai Manchester United ilijiruhusu kupoteza udhibiti wa pambano lao la Ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Tottenham. Mabao ya kipindi cha kwanza ya Jadon Sancho na Marcus …

