Stellini Aondoka Spurs Baada ya Kipigo cha 6-1 Dhidi ya Newcastle
Daily News

Aliyekuwa kocha wa muda wa Tottenham Cristian Stellini ameondoka katika klabu hiyo kufuatia kichapo cha mabao 6-1 Jumapili dhidi ya Newcastle wakiwa ugenini.   Muitaliano huyo alikuwa ameteuliwa hadi mwisho …

Soma zaidi
Camavinga Kusaini Kandarasi Mpya ndani ya Madrid
La Liga

Taarifa zinaeleza kiungo wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Ufaransa Eduardo Camavinga anaandaliwa mkataba mpya ndani ya klabu hiyo ambao atausaini siku chache zijazo. Camavinga atasaini mkataba …

Soma zaidi
Newcastle Yafanya Mauaji Yaipiga Spurs Sita
Daily News

Klabu ya Newcastle United imefanya mauaji makubwa katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza ambapo waliikaribisha klabu ya Tottenham Hotspurs na kuibamiza kwa mabao sita kwa moja. Newcastle walianza mchezo …

Soma zaidi
Yanga Yaibamiza Rivers Kwao
SOKA LA BONGO

Klabu ya Yanga imefanikiwa kupata ushindi mbele ya Rivers United ya nchini Nigeria wakiwa ugenini kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali wa kombe la shirikisho barani Afrika. Klabu ya …

Soma zaidi
Garnacho Arejea Mazoezini Man United
Daily News

Kinda wa klabu ya Manchester United Alejandro Garnacho ameonekana kurejea mazoezi kwenye klabu hiyo baada kupata majeraha yaliyomuweka nje kwa wiki kadhaa klabuni hapo. Garnacho alionekana akiwa ameanza mazoezi ya …

Soma zaidi
Klopp Adai Liverpool Haina Uhusiano Wowote na Mbio za Nne-Bora
Daily News

Kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kuwa timu yake haina uhusiano wowote na kinyang’anyiro cha nne bora kwenye Ligi kuu ya Uingereza kwa wakati huu.   Liverpool waliishinda Nottingham …

Soma zaidi
Inter Miami ya Beckham Inamuamini Phil Neville
Daily News

Meneja wa Inter Miami Phil Neville amesisitiza bado anaungwa mkono na mabosi wa timu hiyo akiwemo David Beckham, licha ya kupoteza mechi sita mfululizo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet …

Soma zaidi
Bellingham Amesema Yupo Tayari Kutoa Kila Kitu Dortmund
Bundesliga

Kiungo wa kati wa Borussia Dortmund Jude Bellingham ameapa kutoa kila kitu kabisa katika harakati za klabu hiyo kutwaa ubingwa wa Bundesliga.   Kichapo cha mabao 4-0 walichokitoa kwa Eintracht …

Soma zaidi
Newcastle Dhidi ya Tottenham ni Vita ya Top Four
Daily News

Klabu ya Newcastle United leo itashuka dimbani katika uwanja wake wa St.James Park ambapo wataikaribisha klabu ya Tottenham katika mchezo wa kuwania nafasi nne za juu katika ligi kuu ya …

Soma zaidi
Pigo Jingine kwa Man Utd, Varane Nje Msimu Mzima
Daily News

Manchester United huenda ikawa imepigwa na kitu kizito kutoka kwa beki wao tegemezi Raphael Varane akikosa msimu uliosalia kutokana na jeraha huku ‘hofu ikizidi’ kuhusu tatizo lake la kifundo cha …

Soma zaidi
1 2 3 524 525 526 527 528 529 530 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.