Ronaldo Ashitakiwa kwa Kuvunja Sheria za Saudia
Daily News

Mwanasheria wa Saudi Arabia ametoa wito wa kufukuzwa mchezaji wa Al Nassr Cristiano Ronaldo kufuatia kitendo kinachodaiwa kuwa si cha kimaadili katika nchi hiyo ya Kiislamu. Odds kubwa za soka …

Soma zaidi
Mechi ya Man City vs Leeds Utd Yarudishwa Nyuma
Daily News

Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) imefanya mabadiliko ya muda wa kuoneshwa kwenye TV mchezo wa EPL kati ya Man City vs Leeds baada ya mechi hiyo kurudishwa nyuma. Odds kubwa …

Soma zaidi
Klopp Aunga Mkono Mradi wa Muda Mrefu Nunez Kufanikiwa Liver
Daily News

Jurgen Klopp anasema Darwin Nunez ni mradi wa muda mrefu huko Liverpool na anasisitiza kuwa mshambuliaji huyo bado anazoea maisha na wekundu hao.   Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uruguay, …

Soma zaidi
Arteta Awasifia Wachezaji Wake Baada ya Kupata Sare Mchezo wa Jana
Daily News

Mikel Arteta amewasifu wachezaji wake wa Arsenal kwa kupambana na kupata sare ya 3-3 dhidi ya Southampton na anasema anawapenda zaidi wachezaji wake kuliko hapo awali.   Arsenal walilazimishwa kupata …

Soma zaidi
Mitrovic na Silva Hawatakabiliwa na Adhabu Zaidi Huku Rufaa ya FA Ikikataliwa
Daily News

Mshambuliaji wa Fulham Aleksandar Mitrovic na kocha mkuu Marco Silva hawataadhibiwa zaidi baada ya rufaa ya Chama cha Soka ya kurefusha kupigwa kwao marufuku kukataliwa.   Mitrovic alifungiwa mechi nane …

Soma zaidi
Manchester United Yatupwa Nje Ligi ya Europa
Europa League

Manchester United yatupwa nje kwenye michuano ya Europa baada ya kupigwa mabao 3-0 hapo jana dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa marudiano huku mechi ya kwanza walipokuwa Old Trafford walitoka …

Soma zaidi
Terzic: Dortmund Inakaribia Ubingwa wa Bundesliga Kuliko Hapo Awali
Bundesliga

Kocha mkuu wa Borussia Dortmund, Edin Terzic anataka wachezaji wake kufaidika na nafasi yao katika mbio za ubingwa wa Bundesliga, akisema wako karibu zaidi kuliko hapo awali.   Tangu Dortmund …

Soma zaidi
Enrique Abadili Mawazo Ampisha Nagelsmann Chelsea
Daily News

Vyanzo vya karibu na Luis Enrique vinaamini kuwa Julian Nagelsmann ndiye anatazamiwa zaidi kupewa kibarua cha kuionoa Chelsea kwa mujibu wa talkSPORT. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya …

Soma zaidi
Bernardo Silva Haofii Real Madrid
Daily News

STAA wa Manchester City Bernardo Silva amesema kwamba hawaiogopi Real Madrid na wana uhakika wana kuwafunga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali UEFA Champions League. Odds kubwa za soka …

Soma zaidi
Simba: Malengo Yetu ni Nusu Fainali
SOKA LA BONGO

Afisa habari wa klabu ya Simba SC Ahmed Ally amesema kuwa malengo ya klabu hiyo kwa msimu huu kwenye mashindano ya kimataifa ni kufika hatua ya nusu fainali Ligi ya …

Soma zaidi
1 2 3 525 526 527 528 529 530 531 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.