Afisa habari wa klabu ya Simba SC Ahmed Ally amesema kuwa malengo ya klabu hiyo kwa msimu huu kwenye mashindano ya kimataifa ni kufika hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Simba SC atamkaribisha Wydad Casablanca tarehe 22/04/2023 siku ya Jumamosi katika dimba la Mkapa, mchezo huo ni wa mkondo wa kwanza wa robo fainali.
Ahmed Ally aligusia ushindi wao wa Jumapili Aprili 16/2023 waliomfunga mtani wao yanga kwa magoli 2-0, ushindi huo ameuchukulia kama ni kuwazodoa watani zao. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
“Hakuna jambo lingine lolote tunaweza kuwaza kwa sasa zaidi ya kumfunga Wydad. Kila Mwanasimba anayo nafasi ya kuisaidia Simba kuandika historia ya kuitoa Wydad. Simba ni ya watu, na watu wakiamua jambo lao hakuna linaloshindikana.”
“Furaha yetu rasmi itapatikana baada ya kutinga nusu fainali. Hii ya kuwafunga Yanga ni kuwazodoa, malengo yetu ni kwenda nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa. Kuwafunga hawa ambao tumewazidi kila kitu ni kuwakomoa tu, tumeshawafunga sasa tunawaangalia Wydad.” Ahmedy Ally.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.


