Kikosi cha Yanga kitasafiri kesho kuelekea Nigeria kwaajili ya kuvaana na Rivers United tarehe 23/04/2023, huo ni mchezo wa kwanza hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Afisa Habari wa Yanga SC Ali Kamwe amefanya mkutano na waandishi wa habari na kuzungumzia taratibu za mchezo huo muhimu kwa wananchi, ambapo ametoa ratiba ya safari kama ifuatavyo:
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Kikosi kitaondoka Dar es Salaam kesho alfajiri na shirika la ndege la Ethiopia kuelekea Nigeria kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali dhidi ya Rivers United utakaochezwa kwenye Jimbo la Akwa Ibom Kusini mwa Nigeria”-Ali Kamwe
Aidha kuhusu majeraha ya wachezaji wa Yanga aliweka wazi pia lakini unaweza kubashiri mchezo huu na mingine kupitia meridianbet, jinsi ya kubeti na kushinda ni rahisi sana.
“Wachezaji wote wako kwenye hali nzuri na hatuna majeruhi kasoro Mshery mwenye majeraha ya muda mrefu, Mamadou ambaye alipata msiba wa baba yake mzazi amemaliza salama shughuli zote za mazishi na tutakutana naye Addis Ababa, Ethiopia na kwenda naye pamoja nchini Nigeria”
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.


