Erling Haaland Kuongeza Mkataba Man City

Haaland

Mshambuliajia hatari na tishio kwa sasa Erling Haaland anaweza kupatiwa mkataba mpya Man City baada ya mwaka mmoja tu wa kuitumikia klabu hiyo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Athletic wanadai miamba hao wa Ligi Kuu ya Uingereza wanatayarisha ofa ya mkataba mpya kwa mshambuliaji huyo wa Norway, kama zawadi ya kiwango chake cha kufunga mabao kilichovunja rekodi.

Ripoti inasema kifungu cha kutolewa katika mkataba wake wa sasa tayari kimeondolewa. Sehemu ya uhamisho wake wa bei iliyopunguzwa wa paundi milioni 51.2 kutoka Borussia Dortmund ilikuwa kifungu ambacho kingemruhusu Haaland kuondoka Man City kwa paundi milioni 150 msimu wa joto wa 2024.

Lakini inadaiwa kifungu hicho kinahusishwa haswa na mustakabali wa Pep Guardiola, na kiliondolewa kwenye kandarasi ya Haaland wakati meneja mwenyewe aliweka masharti mapya hadi 2025 mnamo Novemba. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Na sasa City wana nia ya kumpa Haaland nyongeza ya mkataba, kwa nia ya kumbakiza kwenye Uwanja wa Etihad kwa muda mrefu zaidi ya mkataba wake wa sasa, ambao utaendelea hadi 2027. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.