Bernardo Silva Haofii Real Madrid

silva

STAA wa Manchester City Bernardo Silva amesema kwamba hawaiogopi Real Madrid na wana uhakika wana kuwafunga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali UEFA Champions League. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Man City walifanikiwa kuwaondosha Bayern Munich kwenye mashindano hayo makubwa ya Ulaya baada ya sare ya 1-1 kwenye dimba la Allianz Arena, huku mchezo wa kwanza pale Ethiad City alishinda mabao 3-0 na hivyo matokeo ya jumla kuwa 4-1.

Bernardo Silva baada ya mchezo huo alisema kwamba wapo tayari kukutana na Madrid na wana hakika wataweza kuwafunga. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

“Katika Ligi ya Mabingwa, tunajifunza kutokana na makosa yetu ya zamani, na tunachoelewa sasa ni kwamba kabla ya kuwaza, ‘tunahitaji kutawala mchezo kwa dakika 90.

“Katika mashindano haya unapocheza dhidi ya Bayern, PSG [Paris Saint-Germain], Madrid, Barcelona, ​​Liverpool unahitaji kukubali chochote kwamba wakati mwingine unapaswa kulinda na lazima uwe na msimamo.

“Lazima ufanye bidii ili usiwape nafasi rahisi, na hilo ndilo tumekuwa tukijaribu kulifanyia kazi kwa sasa kwa sababu siku za nyuma tumekuwa na usiku mwingi wa kufadhaika kwa sababu hiyo.”

City bado hawajashinda Ligi ya Mabingwa na walipoulizwa kama watalipiza kisasi dhidi ya Madrid mwezi ujao, Silva alijibu kwa kujiamini: “Natumai ndiyo!

“Tunajua jinsi ilivyo ngumu kucheza na Madrid kwenye mashindano haya, lazima tukubaliane nayo. Daima tunaikubali, lakini tunahisi timu inajiamini sana kwa dakika hii. Nadhani tunapita.”

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Acha ujumbe