Mechi ya Simba vs Wydad Kuamuliwa na VAR

Ligi ya Mabingwa Afrika itaendelea tena Jumamosi hii, mechi kubwa ni Simba vs Wydad Casablanca inasubiriwa na wengi kuona kama Mnyama ataweza kumfunga bingwa mtetezi kama ambavyo alivyofanya mwaka 2003 dhidi ya Zamalek. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

Simba VS WYDAD

Habari kubwa kwa sasa ni matumizi ya teknolojia ya maamuzi ya Video (VAR), Leo Alhamisi wataalamu wa teknolojia ya Video Assistants Referee (VAR) kutoka Misri wanaingia nchini tayari kwa kufunga mitambo yao na kuijaribu kwa ajili ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayozikutanisha Simba vs Wydad Casablanca ya Morocco.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubasha, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Hii itakuwa ni kwa mara ya pili katika Historia kwa VAR kutumika Tanzania katika Uwanja wa Benjamin Mkapa na mara zote ni Simba SC pekee wametumia VAR.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.