Rodrygo, Ronaldo Ajaye Real Madrid

Kiungo mshambuliaji wa Real Madrid Rodrygo Silva de Goes akifahamika zaidi kwa jina lake moja la Rodrygo, mtoto wa mitaa ya Osasco Jiji la Sao Paul Brazil. Amekuwa na kiwango kizuri sana kwa sasa katika timu hiyo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

rodrygo

Baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo wa pili wa robo fainali UEFA Champions League, amefikisha jumla ya magoli 15. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Kabla ya kujiunga na Real Madrid, Rodrygo alianza safari yake ya soka katika klabu ya Santos huko nchini kwao Brazil alicheza michezo 80 na kufunga mabao 17, na ndipo miamba hiyo ya Hispania ilivutiwa naye na kutoa Euro Milioni 45 sawa na Tsh Milioni 105 za kibongo.

Kwa michezo michache sana akiwa na Madrid Rodrygo amekaribia kuifikia rekodi yake mwenyewe kwa muda mfupi tu, takwimu zake zinaonesha amecheza michezo 37, amefunga mabao 15 na kutoa asisti 9. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.