Bosi wa Chelsea Todd Boehly Ashambuliwa na Mashabiki
Daily News

Mashabiki wa Chelsea waliokuwa na hasira walionekana kumzonga bosi wa klabu hiyo Todd Boehly katika dimba la Stamford Bridge baada ya timu yake kushindwa tena. Odds kubwa za soka unazipata …

Soma zaidi
Galtier Alalimikia Nafasi Walizokosa PSG Licha ya Kupata Ushindi
Ligue 1

Kocha mkuu wa PSG, Christophe Galtier alihisi timu yake wangeweza kupata ushindi mkubwa zaidi baada ya Kylian Mbappe kuweka historia ya Ligue 1 katika ushindi wao wa 3-1 dhidi ya …

Soma zaidi
Simba Kupewa Mil 300 Kuifunga Yanga
SOKA LA BONGO

Usiku wa deni haukawii kukucha unaweza kusema, ni Jumapili nzuri sana ni Sikukuu kwa wapenda Soka, wapenzi wa Simba na Yanga leo watakutana kwenye dimba la Mkapa katika Kariakoo Derby. …

Soma zaidi
Osimhen Ataanza Mechi ya Jumanne ya Ligi ya Mabingwa Dhidi Ya Milan
Champions League

Luciano Spalletti amethibitisha kuwa Victor Osimhen ataanza mechi ya Jumanne ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya AC Milan baada ya nyota huyo wa Napoli ambaye yuko fiti tena kukanushwa na …

Soma zaidi
Guardiola Ashukuru Juhudi Kubwa za City kwa Kumfanya Haaland Kuwa Fiti
Daily News

Pep Guardiola anaamini kuwa Manchester City wamepata mafanikio “ya ajabu” katika kumweka Erling Haaland kuwa fiti, akidai kujiondoa kwake mara kwa mara kwa mshambuliaji huyo kumekubalika.   Haaland alipata majeraha …

Soma zaidi
Manchester United Yaandamwa na Mzimu wa Majeruhi
Daily News

Klabu ya Manchester United imeanza kuandamwa na mzimu wa majeraha kwani jana katika mchezo wa kombe la Uefa Erupa League hatua ya robo fainali beki Lisandro Martinez na Raphael Varane …

Soma zaidi
Ten Hag Ajitetea Baada ya Suluhu Nyumbani
Europa League

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amejitetea baada ya kupata suluhu nyumbani katika mchezo wa robo fainali ya kombe la Europe League uliopigwa katika dimba lao la …

Soma zaidi
Ancelotti Anasema kuwa Hawezi Kubadilishana Vini na Haaland
La Liga

Carlo Ancelotti ansema kuwa asingebadilishana Vinicius Junior kwa Erling Haaland, huku wawili hao wakionekana kuwa na uwezekano wa kuchuana katika nusu-fainali ya Ligi ya Mabingwa.   Manchester City na Real …

Soma zaidi
Allegri: Soka si Mlinganyo wa Hisabati’
Europa League

Kocha mkuu wa Juventus Massimiliano Allegri ameeleza kwa nini shambulizi la tatu la Juventus halikufaulu dhidi ya Sporting CP na kumruhusu Leandro Paredes asitokee kwenye mabadilishano hayo akisema kuwa ‘Kandanda …

Soma zaidi
Ancelotti: Nina Imani Nitakuwepo Madrid Msimu Ujao
La Liga

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amesema kua ana matumaini makubwa ataendelea kuinoa klabu hiyo kwa msimu ujao kwakua anaamini rais wa klabu hiyo Florentino Perez anataka aendelee …

Soma zaidi
1 2 3 528 529 530 531 532 533 534 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.