Sakata la Feisal Lapigwa Tarehe Tena
SOKA LA BONGO

Sakata la mchezaji wa klabu ya Yanga Feisal Salum ambaye aliomba kuondoka ndani ya klabu hiyo limepigwa tarehe tena na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kupitia shirikisho la …

Soma zaidi
Bayern Munich Yalaani Ubaguzi kwa Upamecano
Champions League

Klabu ya Fc Bayern Munich imeripotiwa kulaani kitendo cha beki wake raia wa kimataifa wa Ufaransa Dayot Upamecano kufanyiwa vitendo vya kibaguzi baada ya mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya …

Soma zaidi
Tuchel: Anategemea Maajabu Mchezo wa Pili
Champions League

Kocha wa klabu ya Fc Bayern Munich Thomas Tuchel amesema ana matumaini ya kupindua meza katika mchezo wa pili wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Manchester City baada ya …

Soma zaidi
Simba Watamba Kuifunga Yanga Jumapili
SOKA LA BONGO

Ikiwa zimesalia siku 4 tu Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla kusimama na kupisha vita ya wanaume wawili wa mitaa ya Kariakoo Simba SC vs Yanga SC, ni Aprili …

Soma zaidi
Odds kubwa Meridianbet Ligi ya Mabingwa
Daily News

Jisajili Meridianbet leo upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo uupendao ya kasino ya mtandaoni kuna Aviator, Poker, Titan Roulette na mingine mingi. Kujisajili bonyeza hapa https://a.meridianbet.co.tz/c/LhBzKc Zilianza …

Soma zaidi
Marcus Rashford Kuikosa Sevilla, Ten Hag Ataja Wengine
Daily News

Kocha mkuu wa Manchester United Erik ten Hag amewaondoa Marcus Rashford na Luke Shaw kwenye kikosi kitakacho cheza Alhamisi ya robo fainali-Ligi ya Europa dhidi ya Sevilla. Odds kubwa za …

Soma zaidi
Zinedine Zidane Ahitajika Chelsea
Daily News

Chelsea wamekuwa wakihusishwa na kocha mkuu wa zamani wa Real Madrid Zinadine Zidane kama mbadala wa Graham Potter aliyetimuliwa kwa matokeo mabaya ya The Blues, lakini mabosi wa timu hiyo …

Soma zaidi
KMC Yajipanga Zaidi Kusalia Ligi Kuu
SOKA LA BONGO

Klabu ya KMC FC ipo kwenye nafasi mbaya ya kushuka daraja kama itapoteza michezo yake minne iliyosalia ya Ligi kuu, baada ya kupoteza mchezo wake dhidi ya Geita Gold kwa …

Soma zaidi
Yanga Kumkaribisha Kagera Sugar Kwa Mkapa Leo
SOKA LA BONGO

Mechi nyingine ya ligi kuu hii leo itapigwa majira ya saa 1:00 usiku katika dimba la Benjamin Mkapa ambapo mabingwa watetezi wa ligi Yanga watamenyana dhidi ya Kagera Sugar.   …

Soma zaidi
Carragher: “Hakuna Beki wa Kati Katika Enzi za Ligi Kuu wa Kulinganishwa na Van Dijk
Daily News

Virgil van Dijk huenda alitatizika kwa Liverpool msimu huu lakini Jamie Carragher anasema hakuna beki wa kati katika Ligi kuu ya Uingereza ambaye amewahi kuwa na athari kubwa kwa timu …

Soma zaidi
1 2 3 531 532 533 534 535 536 537 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.