No Chama, No Saidoo Simba SC vs Ihefu
Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo dhidi ya Ihefu kimetoka lakini habari ya kushangaza zaidi ni kukosekana kwa wachezaji tegemezi wa kikosi cha kwanza. Wachezaji hao ni Clatous Chama, …
Simba Ugenini Leo Dhidi ya Ihefu
Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaendeea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo klabu ya Simba watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Ihefu majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la …
Son Alihisi Presha Zaidi Baada ya Kushinda Kiatu cha Dhahabu
Nyota wa Tottenham Heung-Min Son amekiri kuhisi presha na umakini zaidi baada ya kushinda Kiatu cha Dhahabu cha ligi kuu ya Uingereza msimu uliopita. Son aliifungia Spurs mabao 23 …
Spurs Wameingia kwenye Kinyang’anyiro Kumnunua Ziyech Baada ya Bei Kupunguzwa
Tottenham Spurs wako mbioni kumsajili winga wa Chelsea Hakim Ziyech msimu huu wa joto baada ya bei ya mchezaji huyo kupunguzwa. Ziyech hana nafasi Stamford Bridge, hajaichezea The Blues …
Lampard Bado Ana Imani na Raheem Sterling
Frank Lampard amemuunga mkono nyota wa Chelsea Raheem Sterling kuthibitisha kuwa bado ni mmoja wa wachezaji bora zaidi duniani kabla ya pambano lao dhidi ya Real Madrid. Mshambuliaji huyo …
Xavi: Busquets Anaweza Kuondoka Barca Akiwa na Taji la Laliga
Kocha mkuu wa Barcelona Xavi anakubali Sergio Busquets anaweza kuamua kumalizia soka lake la Barcelona kwa kiwango cha juu mwishoni mwa msimu huu, ingawa kocha huyo wa Blaugrana ana matumaini …
Mwamuzi Msaidizi Kuchunguzwa kwa Madai ya Kumpiga Kiwiko Robertson
Bodi ya wasimamizi wa mechi ya ligi kuu ya Uingereza itachunguza baada ya mwamuzi msaidizi kuonekana kumpiga kiwiko Andy Robertson wa Liverpool wakati wa sare ya jana dhidi ya Arsenal. …
Arteta Amsifia Ramsdale Baada ya Kuipatia Arsenal Droo Anfield
Kocha mkuu wa Arsenal Mikel Arteta amemsifu Aaron Ramsdale kwa kuokoa mipira mingi ambayo ilikuwa ikienda langoni kwao na kuifanya Arsenal kuwa na matumaini katika mbio za ubingwa wa Ligi …
Arsenal na Liverpool Ngoma Droo
Klabu ya Arsenal na Liverpool wametoka sare katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliozikutanisha timu hizo na kila timu kufanikiwa kuondoka na alama moja katoka dimba la Anfield. Klabu …
Crystal Palace Yaisambaratisha Leeds United
Klabu ya Crystal Palace imefanikiwa kuishangaza klabu ya Leeds United baada ya kuifunga kwa mabao matano kwa moja katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliopigwa katika dimba la Elland …

