Mane Asimamishwa Bayern
Bundesliga

Mchezaji wa klabu ya Bayern Munich raia wa kimataifa wa Senegal Sadio Mane amesimamishwa kuendelea kuitumikia klabu hiyo baada ya tukio lake la kumshambulia mchezaji mwenzake ndani ya timu hiyo …

Soma zaidi
Thuram Akaribia Kondoka Huku Gladbach Ikithibitisha kuwa Anaondoka
Daily News

Marcus Thuram ataondoka Borussia Monchengladbach kama mchezaji huru mwishoni mwa msimu huu baada ya klabu hiyo ya Bundesliga kukata tamaa ya kumbakisha mshambuliaji huyo wa Ufaransa.   Mchezaji huyo mwenye …

Soma zaidi
Ryan Kutoka Bayern Anawindwa na Vilabu Kutoka Uingereza
Daily News

Vigogo wa Ligi Kuu ya Uingereza Manchester United, Liverpool na Arsenal wote wanamfuatilia kiungo wa Bayern Munich Ryan Gravenberch.   Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi alijiunga kutoka Ajax msimu …

Soma zaidi
Mac Allister Kuondoka Brighton United, Chelsea, Liverpool Zatajwa
Daily News

Kiungo wa klabu ya Brighton hove and Albion na timu ya taifa ya Argentina Alex Mac Allister anatarajiwa kuondoka klabuni hapo huku vigogo mbalimbali wakitajwa kuvizia saini yake kama Liverpool, …

Soma zaidi
Courtois Akiri Kuwa Madrid Imechoshwa na Kushindwa Kuifunga Chelsea Mabao Mengi
Champions League

Golikipa wa Real Madrid Thibaut Courtois amekiri kuwa Real Madrid iliachwa “imeathirika” na kushindwa kuitia Chelsea upanga katika ushindi wao wa Ligi ya Mabingwa hapo jana.   Los Blancos walipata …

Soma zaidi
Spalletti: Osimhen Kuwepo Mchezo wa Pili
Champions League

Kocha wa klabu ya Luciano Spalletti amesema kua mshambuliaji wake matata raia wa kimataifa wa Nigeria Victor Osimhen atarejea katika mchezo wa pili wa ligi ya mabingwa barani ulaya dhidi …

Soma zaidi
Bayern Wanakabiliwa na Mzozo Baada ya Madai Kwamba Mane Alimpiga Mchezaji Mwenzake Sane
Champions League

Kichapo cha 3-0 cha Bayern Munich dhidi ya Manchester City kilikuwa kibaya vya kutosha, lakini imechangiwa na madai kwamba Sadio Mane alimwacha mchezaji mwenzake Leroy Sane akiwa na butwaa baada …

Soma zaidi
Fofana Anasisitiza Kuwa Ndoto ya Chelsea Kwenye Ligi ya Mabingwa Haijaisha
Champions League

Wesley Fofana anakataa kukubali ndoto ya Chelsea ya Ligi ya Mabingwa ni  kama imekwisha baada ya kutandikwa hapo jana wakiwa ugenini.   The Blues ya Frank Lampard iliteleza kwa mabao …

Soma zaidi
Mbappe: Mimi ni Mfaransa na Ninataka Kushinda Ligi ya Mabingwa Huko PSG
Ligue 1

Kylian Mbappe alikanusha uwezekano wa kuachana mapema na kandarasi yake ya Paris Saint-Germain kwa kutangaza kuwa bado anataka kushinda Ligi ya Mabingwa akiwa na klabu yake ya jiji la nyumbani. …

Soma zaidi
Vinicius Mchezaji Bora Hapo Jana Baada ya Ushindi Dhidi ya Chelsea
Champions League

Vinicius Junior amesifu onyesho la Real Madrid dhidi ya Chelsea hapo jana kama moja ya ubora wao msimu huu huku mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa wakipata faida ya mabao …

Soma zaidi
1 2 3 530 531 532 533 534 535 536 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.