Casillas: Ni Nzuri kwa Soka la Italia Kwamba Juventus Wameacha Kushinda Mataji
Mlinda mlango wa zamani wa Real Madrid, Iker Casillas amewachoma Juventus katika mahojiano ya hivi majuzi na kusema kuwa ni ‘nzuri kwa soka la Italia’ timu nyingine zimeanza kukomesha ubabe …
Bayern Wanajiandaa Kutoa Ofa ya Ufunguzi kwa Kane
Mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane, huenda akatafuta kuondoka katika klabu hiyo ya Kaskazini mwa London msimu huu wa joto ikiwa watashindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa na klabu ya Bayern …
Mamadou Doumbia wa Yanga Afiwa na Baba Yake Mzazi
Mamadou Doumbia ambaye ni usajili mpya wa Yanga ambao wameufanay dirisha dogo la usajili juu ya mchezaji huyu, ameripotiwa kuwa amefiwa na baba yake mzazi. Kifo hicho cha baba …
Szczesny Aogopa Baada ya Kuhangaika Kupumua Wakati wa Mchezo Dhidi ya Sporting
Mlinda mlango wa Juventus Wojciech Szczesny aliachwa na “woga” baada ya kutoka katika mkondo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Europa dhidi ya Sporting akiwa na maumivu ya …
Ten Hag Alaumu Majeraha ya United Huku Wakishindwa Kulinda Uongozi wa Mabao 2
Erik ten Hag aliachwa akiuguza majeraha wakati Manchester United ikipata huzuni ya dakika za lala salama dhidi ya Sevilla kwenye Ligi ya Europa, huku Marcel Sabitzer akipiga mabao mawili ya …
Mwamuzi Msaidizi Hatzidakis Hatachukuliwa Hatua Zozote Baada ya Tukio la Robertson
Shirikisho la Soka (FA) limethibitisha kuwa Constantine Hatzidakis hatakabiliwa na adhabu yoyote kwa kuonekana akimpiga kiwiko beki wa Liverpool Andrew Robertson. Tukio hilo lilitokea wakati wa mapumziko wakati Liverpool …
Al Nassr Waachana na Kocha Garcia
Klabu ya Al Nassr kutoka nchini Saudia Arabia imeachana na kocha wake Rudi Garcia mapema leo Alhamisi na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa kimataifa kutoka Croatia Dinko Jelicic. Taarifa …
Gravenberch Anataka Kuondoka Bayern Munich
Kiungo wa kimataifa wa Uholanzi anayekipiga klabu ya Fc Bayern Munich Ryan Gravenberch amepanga kuondoka ndani ya klabu hiyo dirisha kubwa kutokana na ufinyu wa nafasi ambao anaupata ndani ya …
Napoli Wawajibu Waandishi wa Habari Baada ya Kuwalaumu Waamuzi
Waandishi wa habari wachache kutoka Napoli walimlaumu waziwazi mwamuzi Istvan Kovacs na Afisa Mkuu wa Waamuzi wa UEFA Roberto Rosetti katika eneo mchanganyiko la Stadio Meazza jana usiku na Partenopei …
Chilwell Aomba Radhi Baada ya Kupewa Kadi Nyekundu Jana
Ben Chilwell ameomba radhi kwa kadi nyekundu aliyopewa jana wakati Chelsea ilipochapwa mabao 2-0 na Real Madrid. Beki huyo wa kushoto wa Uingereza, Chilwell alipewa maagizo yake kabla ya …

