Osimhen Kuikosa Safari ya Napoli ya Ligi ya Mabingwa Dhidi ya Milan
Champions League

Victor Osimhen ameondolewa katika safari ya Napoli ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya AC Milan kesho huku likiwa ni pigo kubwa kwa Partenopei.   Mshambuliaji huyo hajawachezea vinara hao wa …

Soma zaidi
City Kumuachia Phillips Kwenda Aston Villa
Daily News

Aston Villa wako tayari kumpa Kalvin Phillips njia ya kutoka katika klabu ya ndoto yake Manchester City baada ya mchezaji huyo kutopata namba mara kwa mara klabuni hapo.   Kuwasili …

Soma zaidi
KMC Kukiwasha Dhidi ya Geita Gold Leo Hii
SOKA LA BONGO

Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema kabisa ni kati ya KMC dhidi ya Geita Gold ambao wana maendeleao mazuri kwenye …

Soma zaidi
Inzaghi Awataka Inter Watumie ‘Vichwa na Mioyo’ Yao Dhidi ya Benfica
Champions League

Kocha mkuu wa Inter Simone Inzaghi anajua kuwa lazima watumie “vichwa na mioyo yao” dhidi ya Benfica wawili hao watakapokutana katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa leo hii.   …

Soma zaidi
Tuchel: City ya Pep Ndio Wana Kiwango cha Juu Kabisa cha Soka Barani Ulaya
Champions League

Thomas Tuchel amesema kuwa timu ya Manchester City inayonolewa na Pep Guardiola inatoa kiwango cha juu zaidi cha soka barani Ulaya.   Timu hiyo ya Bavaria itasafiri hadi Uwanja wa …

Soma zaidi
Barcelona Yabaki na Matumaini ya Ubingwa, Huku Xavi Akilalamikia Kukosa Nafasi Jana
La Liga

Xavi Hernandez amekiri kuwa Barcelona wako katika “hali nzuri sana” kwenye kilele cha LaLiga lakini aliumia saba hapo jana baada ya timu yake kukosa nafasi za mabao dhidi ya Girona …

Soma zaidi
Ancelotti Hataki Kuhusihwa na Chelsea na Brazil Huku Akiwa Bado Madrid
La Liga

Carlo Ancelotti hatakuwa na uhusiano wa kutaka kuhamia Chelsea au Brazil wakati yeye ni kocha mkuu wa Real Madrid kutokana na “heshima” ya klabu hiyo ya LaLiga.   Muitaliano huyo …

Soma zaidi
Smith Ateuliwa Kuwa Kocha wa Leicester Hadi Mwisho wa Msimu
Daily News

Leicester wamethibitisha kumteua Dean Smith kama kocha wao wa muda hadi mwisho wa msimu huu.   Smith mwenye miaka 52, amefurahia muda wa kuinoa Brentford, Aston Villa na Norwich na …

Soma zaidi
Osimhen Hatiani Kuikosa AC Milan Hapo Kesho Baada ya Kupata Majeraha
Serie A

Habari za kukatisha tamaa zimeibuka kutoka kwenye mazoezi ya Napoli leo, ambapo Victor Osimhen aliendelea kufanya mazoezi ili apone haraka baada ya jeraha ambalo alilipata.   Mshambuliaji huyo wa Kinigeria …

Soma zaidi
Hernandez Amerejea Mazoezini Baada ya Kuumia Kwenye WC
Bundesliga

Lucas Hernandez amerejea kwenye mazoezi ya Bayern Munich siku ya leo kwa mara ya kwanza tangu alipoumia kwenye Kombe la Dunia.   Beki huyo mahiri aliumia mapema katika mechi ya …

Soma zaidi
1 2 3 532 533 534 535 536 537 538 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.