Pep Anadai Haaland Yuko kwenye Kiwango Sawa na Ronaldo na Messi
Daily News

Pep Guardiola anaamini Erling Haaland amefikia viwango vya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kama mfungaji bora baada ya mshambuliaji huyo kufunga mabao mawili hapo jana.   Haaland alifunga mara mbili …

Soma zaidi
Sababu Zilizompa Tuzo Robertinho ni Hiki Hapa
SOKA LA BONGO

Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba SC Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo “Robertinho” amepewa tuzo ya kocha bora wa mwezi Machi, lakini watu wengi wameonekana kukosoa uamuzi huo wa TFF …

Soma zaidi
Yanga Kuwakaribisha Geita Gold Kwenye ASFC Chamazi
SOKA LA BONGO

Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam hatua ya robo fainali ambapo mabingwa watetzi wa ligi kuu Yanga watawaalika Geita Gold katika dimba la Chamazi majira ya saa 2:00 usiku. …

Soma zaidi
Azam FC Yachukua Pointi 3 Zingine kwa Mtibwa Sugar Msimu Huu
SOKA LA BONGO

Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara iliendelea kwa michezo miwili hapo jana ambapo mchezo wa mwisho kabisa uliopigwa majira ya saa 3:00 usiku ulikuwa ni kati ya Azam Fc dhidi …

Soma zaidi
Simba Yatinga Nusu Fainali ya ASFC kwa Kuichakaza Ihefu Chamazi
SOKA LA BONGO

Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup iliendelea hapo jana kwa mchezo mmoja ambapo mchezo huo ulikuwa ni kati ya Simba dhidi ya Ihefu uliopigwa katika dimba la Chamazi. …

Soma zaidi
Guardiola: Haaland Atakuwepo dhidi ya Southampton
Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amesema kua mshambuliaji wake matata Earling Haaland atakuepo kwenye mchezo wao wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya klabu ya Southampton hapo …

Soma zaidi
Eriksen Amerejea Rasmi
Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Denmark Christian Eriksen amerejea rasmi ndani ya klabu hiyo baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Eriksen amekaa …

Soma zaidi
Roma na Lazio Yawapa Wachezaji Thamani ya 30% hadi 50%
Serie A

Roma na Lazio sasa wanakabiliana na kesi ya kupata mtaji wao wenyewe na inasemekana wamewathamini wachezaji wao kwa 30% hadi 50%.   La Gazzetta dello Sport inaeleza jinsi Ofisi za …

Soma zaidi
Ancelotti: Siwezi Kufundisha Barcelona Kamwe
La Liga

Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amesema kua yeye hawezi kuja kufundisha klabu ya Barcelona kwenye maisha yake kwakua kocha huyo anasema anapendwa ndani ya klabu hiyo. Kocha …

Soma zaidi
Spurs Wamfanya Maddison kuwa Kipaumbele Chao Msimu Ujao
Daily News

Klabu ya Tottenham Spurs ndio wanaongoza kuwania saini ya kiungo wa kati wa Uingereza James Maddison kutoka Leicester msimu huu wa joto.   Mchezaji huyo mahiri huenda akaondoka Foxes mwishoni …

Soma zaidi
1 2 3 536 537 538 539 540 541 542 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.