Stellini: Wachezaji wa Zamani Wanaomkosoa Kane Hawaiheshimu Tottenham
Daily News

Kaimu kocha mkuu wa Tottenham Cristian Stellini amewashutumu wachezaji wa zamani kwa kutokuwa na heshima na klabu hiyo baada ya Harry Kane kupokea shutuma kwa upande wake katika kadi nyekundu …

Soma zaidi
Juventus Yafungiwa Uwanja Mechi Ijayo Baada ya Kumfanyia Lukaku Ubaguzi
Coppa Italia

Juventus wamepigwa marufuku ya kutoingiza mashabiki zake mechi moja kwenye sehemu ya uwanja baada ya wafuasi wao kumtusi mshambuliaji wa Inter Romelu Lukaku.   Lukaku alilengwa na mashabiki wa upinzani …

Soma zaidi
Liverpool Yashtakiwa kwa Kumzonga Mwamuzi Baada ya Kipigo Dhidi ya City
Daily News

Liverpool wameshtakiwa na Chama cha Soka (FA) kwa tukio walilowafanya wachezaji wao kumzonga mwamuzi katika mchezo wa Jumamosi iliyopita wa mabao 4-1 dhidi ya Manchester City.   Tukio hilo lilitokea …

Soma zaidi
Mbappe Aikashifu PSG Kuhusu Video ya Matangazo Kwenye Uboreshaji wa Tiketi
Ligue 1

Kylian Mbappe ameikashifu Paris Saint-Germain kuhusu video ya matangazo kwa ajili ya uboreshaji wa tiketi za msimu baada ya kuhusishwa sana kwenye kampeni.   Mshambuliajii huyo alisaini mkataba mpya na …

Soma zaidi
Mesut Ozil Ampigia Saluti Benzema
Daily News

Mchezaji wa zamani wa Real Madrid Mesut Ozil amemwagia sifa za mchezaji mwenzake wa zamani Karim Benzema baada ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Ulaya kufunga hat-trick kwenye El Classico …

Soma zaidi
Hizi Ndio Derby 6 Bora za Afrika
SOKA LA BONGO

Kila bara au nchi ulimwenguni huwa linakuwa na timu mbili zinazotoa upinzani mkubwa sana pindi zinapokutana uwanjani. Meridianbet Sports leo tunakuletea orodha ya Derby 5 kubwa zinazopatikana bara la Afrika. …

Soma zaidi
Umepata Mgao wa Pasaka Kutoka Meridianbet?
Meridianbet

Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/7urCO5   Promosheni Kabambe ya Endorphina Vijana wengi wamekata tamaa …

Soma zaidi
Kasino ya Mtandaoni | Sloti yenye Historia ya Roman Empire
Meridianbet

Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/vaoi1Y Furahia sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma …

Soma zaidi
Yanga vs Rivers United Ni Muda wa Kulipa Kisasi
SOKA LA BONGO

Unaweza kusema ni muda muafaka kwa timu ya Wananchi Yanga SC kulipa kisasi chao kwa Rivers United ya nchini Nigeria. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, …

Soma zaidi
Lampard Yupo Tayari Kuinoa Chelsea Hadi Mwisho wa Msimu
Daily News

Frank Lampard anaonekana kukaribia kurejea Chelsea kama kocha wa muda hadi mwisho wa msimu huu.   Ripoti zinaonyesha kuwa kocha huyo wa zamani wa Everton yuko mbioni kutia saini tena …

Soma zaidi
1 2 3 538 539 540 541 542 543 544 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.