Willock: “Newcastle Ilikuwa Inaidai United Baada ya Kushinda Kombe la EFL”
Daily News

Joe Willock anaamini kuwa Newcastle ilikuwa “inadaiwa”  United na wakilipiza kisasi kwa kushindwa kwao fainali ya Kombe la Carabao na Mashetani Wekundu kwa ushindi wa 2-0 wa Ligi Kuu ya …

Soma zaidi
Pique Aionya Barcelona Kuwa Kumlazimisha Messi Kurudi Kunaweza Kusizae Matunda
La Liga

Gerard Pique amewaonya Barcelona kwamba kumlazimisha Lionel Messi kurejea Camp Nou kunaweza “kusizae matunda”.   Messi anakaribia mwisho wa mkataba wake wa miaka miwili na Paris Saint-Germain, baada ya kujiunga …

Soma zaidi
Liver Wanamlenga Gallagher Ili Kurekebisha Safu ya Kiungo Msimu Ujao
Daily News

Klabu ya Liverpool ambayo ipo chini ya kocha mkuu  Klopp wanamtazama Conor Gallagher wa Chelsea kama kiungo wanayemhitaji sana majira ya joto.   Jurgen Klopp na Liverpool yake anatamani sana …

Soma zaidi
De Bruyne Anaamini City Inaweza Kustahimili Bila Uwepo wa Haaland
Daily News

Kevin De Bruyne anaamini ushindi wa Manchester City wa 4-1 dhidi ya Liverpool Jumamosi ulionyesha wanaweza kumudu bila uwepo wa Erling Haaland.   Mshambuliaji huyo wa Norway Haaland, ndiye anaongoza …

Soma zaidi
Chelsea Yamtimua Graham Potter
Daily News

Klabu ya Chelsea imemtimua Graham Potter baada ya kuwa mkufunzi mbaya asiyepata matokeo ambayo timu hiyo ikihitaji.   Potter mwenye miaka 47, aliondoka Brighton na kuchukua mikoba ya Stamford Bridge …

Soma zaidi
Shaw: “United Ilikosa Njaa na Hamu Katika Kuishinda Newcastle”
Daily News

Luke Shaw anaamini kuwa Manchester United ilikosa shauku, hamu, njaa na mtazamo katika mchezo wao wa jana na kuwafanya kupoteza kwa mabao 2-0 Jumapili dhidi ya Newcastle.   Onyesho zuri …

Soma zaidi
Leao Ang’ara Kwenye Mechi ya Jana Dhidi ya Napoli
Serie A

Stefano Pioli amemsifu Rafael Leao baada ya kurejea katika fomu yake kwa kufunga mabao mawili katika ushindi wa ajabu wa AC Milan wa 4-0 dhidi ya Napoli, akitangaza kuwa mshambuliaji …

Soma zaidi
Spalletti Ana Uhakika Atajibu Mashambulizi Kwenye UEFA Baada ya Kupigwa Jana
Serie A

Luciano Spalletti ana imani Napoli itazinduka watakapomenyana na Milan katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, baada ya kushuhudia timu yake ikipokea kichapo cha mabao 4-0 dhidi ya Milan hapo …

Soma zaidi
James Ameapa Kuwa Chelsea Wanafanya Kazi kwa Bidii Kujiondoa Gizani
Daily News

Reece James anasisitiza kuwa Chelsea wanatatizika wanafanya bidii kuokoa msimu wao  lakini juhudi hizo zimeshindwa kumweka kocha Graham Potter kwenye kibarua chake.   The Blues walishuka hadi kumi la pili …

Soma zaidi
Yanga Yaungana na Simba Kwenye Rekodi Hii
SOKA LA BONGO

Klabu ya Yanga imeungana na watani zao klabu ya Simba kuandika rekodi baada ya kufanikiwa kuongoza kundi kwenye kombe la shirikisho Afrika baada ya kufikisha jumla ya alama 13. Yanga …

Soma zaidi
1 2 3 541 542 543 544 545 546 547 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.