Yanga Yaipigia Mazembe Kwake
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuifunga klabu ya Tp Mazembe wakiwa ugenini kwa bao moja kwa bila na mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya NBC wakifanikiwa kumaliza mchezo wao wa …
Leicester City Yamtimua Brendan Rodgers
Klabu ya Leicester City inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza imeamua kuachana na kocha wake aliyekua anaitumikia klabu hiyo Brendan Rodgers baada ya kupata matokeo mabaya kwenye ligi hiyo. Leicester City …
Hodgson Asherehekea Ndoto ya Crystal Palace Kurudi Katika Njia
Roy Hodgson alisherehekea ubabe wa Crystal Palace wakati wa ushindi wao wa 2-1 dhidi ya Leicester City, baada ya The Eagles kuweka faida ya mashuti 28 pamoja na Selhurst Park. …
Simba Yatua Dar na Kupokea Mshiko
Klabu ya Simba imefanikiwa kurudi nchini Tanzania mapema leo baada ya kumaliza mchezo wao wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya klabu ya Raja Casablanca na kupokelewa na mshiko …
Rodgers Aondoka Leicester City Baada ya Kuitumikia Miaka 4
Leicester City wameachana na kocha wao Brendan Rodgers wakitaka kudumisha hali yao ya Ligi Kuu ya Uingereza. The Foxes walishuka hadi nambari tatu za mkiani baada ya kushindwa hapo …
Arteta Aupigia Saluti Umakini wa Arsenal Baada ya Man City Kushinda
Kocha mkuu wa Arsenal Mikel Arteta ameusifu umakini wa Arsenal huku vinara hao wa Ligi ya Uingereza wakirejesha faida yao ya pointi nane kwa ushindi dhidi ya Leeds United kwenye …
Tuchel Anaona Wigo Mpana wa Kuiboresha Bayern Licha Ushindi Mwepesi wa Klassiker
Mechi ya kwanza ya Thomas Tuchel kama kocha wa Bayern Munich inaweza kuwa ushindi mzuri kwake dhidi ya wapinzani wao Borussia Dortmund, lakini anajua kuna kazi kubwa ya kufanya. …
Shevchenko Amtetea Staa Mykhailo Mudryk
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Chelsea, Andriy Shevchenko amemtetea Staa Mykhailo Mudryk baada ya kuonesha kiwango kibovu dhidi ya Liverpool. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, …
Shabiki Avunja Bus la Liverpool| Klopp Adaiwa Kuumizwa
Shabiki mmoja wa Manchester City aliripotiwa kuvunja dirisha la basi la timu ya Liverpool, wakati likiondoka kwenye uwanja wa Etihad alipokuwa anamrushia tofali kocha wa timu hiyo Jurgen Klopp. Odds …
Xavi Hernandez Awapongeza Wachezaji Wake Baada ya Kuitungua Elche
Kocha mkuu wa FC Barcelona, Xavi Hernandez amengazia mafanikio ya Barcelona kama juhudi ya timu badala ya kushuka kwa kiwango cha mtu binafsi katika ushindi mnono wa 4-0 kwenye LaLiga …

