Allegri Hana Uhakika ni Lini Pogba Atarejea
Massimiliano Allegri hana uhakika ni lini Paul Pogba atarejea uwanjani kufuatia majeraha yake ya hivi majuzi. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa amekuwa na wakati mgumu wa mambo tangu …
Stellini Amesisitiza Kuwa Spurs Haiko kwenye Mgogoro Licha ya Conte Kuondoka
Cristian Stellini anasisitiza kuwa Tottenham “haiko kwenye mgogoro” licha ya Antonio Conte kujiondoa katika klabu hiyo kiholela. Conte aliondoka Spurs kwa makubaliano Jumapili iliyopita, wiki moja baada ya kutokea …
Simba SC Yapokea Kipigo Kutoka kwa Raja Casablanca
Klabu ya Simba ambayo inaongozwa na kocha mkuu Robertinho imepokea kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Raja Casablanca kwenye mchezo wao wa marudiano hapo jana. Mchezo huo ulipigwa majira …
Greenwood Anafanya Mazungumzo na Man United
Winga wa klabu ya Manchester United Mason Greenwood ambaye amekua nje ya uwanja kwa muda wa takribani mwaka mmoja na miezi mitatu anafanya mazungumzo na klabu yake hiyo ili kuangalia …
Guardiola: Liverpool Bado ni timu nzuri
Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amesema anaamini klabu ya Liverpool bado ni timu nzuri licha ya changamoto ambazo imekua ikizipitia ndani ya msimu huu. Guardiola anasema licha …
Ramsdale Anaihofia Leeds
Golikipa wa klabu ya Arsenal Aron Ramsdale ameonesha kuihofia klabu ya Leeds United ambayo watacheza nayo katika mchezo wa kesho wa ligi kuu ya Uingereza kwakua klabu hiyo iko nafasi …
Martial Kurejea Wikiendi Hii
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Anthony Martial imetibtishwa na na kocha Ten Hag kua atarejea katika mchezo wa ligi kuu ya UIngereza wikiendi hii dhidi ya klabu ya Newcastle …
Simba Kumenyana na Raja Casablanca Saa 7 Usiku Leo
Michuano ya klabu bingwa kuendelea hii leo kwenye viwanja mbalimbali, ambapo klabu ya Simba itakuwa ugenini kukichapa dhidi ya Raja Casablanca kwenye mchezo wao wa marudiano. Mchezo huo utapigwa …
Stellini Kuimarisha Umoja Spurs Baada ya Conte Kuondoka
Kocha mkuu wa muda wa Tottenham Cristian Stellini alijaribu kukuza umoja baada ya utawala wa Antonio Conte kumalizika kwa mlipuko. Conte alifukuzwa kazi siku ya Jumapili baada ya wiki …
Saka Mchezaji Bora wa Mwezi Machi Epl
Winga wa klabu ya Arsenal Bukayo Saka ametangazwa kua mchezaji bora wa mwezi wa ligi kuu ya Uingereza kwa mwezi Machi baada ya kuonesha kiwango kikubwa sana ndani ya mwezi …

