Luke Shaw Aongeza Minne Man United
Klabu ya Manchester imemuongezea mkataba mpya beki wake wa kushoto muhimu klabuni hapo raia wa kimataifa wa Uingereza Luke Shaw, Beki huyo ameongezewa mkataba wa miaka minne wa kuendelea kusalia …
Robertson: Awaonya Wenzake Kutokufanya Makosa Tena
Beki wa klabu ya Liverpool Andy Robertson Amewaonya wachezaji wenzake wa klabu hiyo na kuwataka kutokufanya makosa tena kuelekea mwisho wa msimu ili kuhakikisha wanamaliza ndani ya nafasi nne za …
Shakhtar Yalalamika kwa Tume ya Ulaya Huku Kukiwa na Mzozo wa Mkataba wa FIFA wa €40m
Shakhtar Donetsk wamewasilisha malalamiko yao dhidi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa Kamisheni ya Ulaya, wakidai uamuzi wa kuwaruhusu wachezaji wao wa kigeni kusimamisha kandarasi zao umewagharimu Euro …
De Gea Haishiwi na Furaha Wakati Mazungumzo ya Mkataba na United Yakiendelea
David de Gea amesalia kuridhika na Manchester United na anaangazia zaidi kusaidia Mashetani Wekundu kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa, huku mazungumzo kuhusu kandarasi mpya ya mlinda mlango huyo yakiendelea. …
Mctominay,Lindelof Hatma Yao Kujulikana Mwisho wa Msimu
Wachezaji wawili wa klabu ya Manchester United Scott Mctominay na beki Victor Lindelof hatma yao kuamuliwa mwishoni mwa msimu huu na kocha wa klabu hiyo Erik Ten Hag ambaye ataamua …
Richarlison Akanusha Kuwa Sababu ya Conte Kuondoka Spurs
Richarlison amejibu mapendekezo yake kuwa alichangia pakubwa katika uamuzi wa Tottenham kumfukuza Antonio Conte, akikana kuwa hakuwa kiongozi wa sababu ya kocha huyo Muitaliano kutimuliwa. Spurs iliachana na Conte …
Ufaransa Imethibitisha Kuteuliwa kwa Renard Baada ya Kutimuliwa Diacre
Herve Renard amethibitishwa kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya wanawake ya Ufaransa baada ya mgomo wa wachezaji uliopelekea kutimuliwa kwa Corinne Diacre. Renard alijiuzulu wadhifa wake kama kocha …
Mustakabali wa Gundogan Bado Upo Wazi Licha ya Kuitaka Barcelona
Kulingana na wakala wa Ilkay Gundogan anasema kuwa mustakabali wake bado “wazi” licha ya ripoti kupendekeza kiungo huyo wa Manchester City anataka kujiunga na Barcelona baada ya kumalizika kwa mkataba …
Robertson Aionya Liverpool Kutofanya Makosa Tena Kwenye Kusaka Nafasi 4 za Juu
Andrew Robertson amewaonya wachezaji wenzake wa Liverpool kwamba hawawezi kumudu kufanya makosa yoyote zaidi ikiwa wanataka kufikia matarajio yao ya chini ya kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa. Wekundu hao …
Emery: Chelsea Inaendelea Vizuri Chini ya Potter
Kocha mkuu wa Aston Villa Unai Emery amemuunga mkono Graham Potter kwa mafanikio ya muda mrefu akiwa Chelsea na anasema tayari kuna dalili za maendeleo Stamford Bridge. Potter alimrithi …

