Saka Kusaini Mkataba Mpya Karibuni
Winga wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza Bukayo Saka anakaribia kusaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo yenye maskani yake jijini London. Bukayo …
Rashford Arejea Mazoezini Carrington
mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford ameripotiwa kuanza mazoezi katika kiwanja cha mazoezi cha klabu hiyo cha Carrington baad ya kupata majeraha madogo. Marcus Rashford aliibua mjadala mzito …
Parades na Draxler Kurejea PSG
Wachezaji wa klabu ya PSG Leandro Parades na Julian Draxler waliopo kwa mkopo katika vilabu vya Juventus, na Benfica wanatarajiwa kurejea ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Parades …
Conte Awashukuru Mashabiki Spurs
Aliyekua kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs raia wa kimataifa wa Italia Antonio Conte amewashukuru mashabiki wa klabu hiyo baada ya kuachana na klabu hiyo mapema siku ya jumapili. Antonio …
Taifa Stars Kutafuta Tiketi ya Afcon leo Dhidi ya Uganda
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars leo itashuka dimbani kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika Affon mwakani nchini Ivory Coast dhidi ya timu ya taifa ya …
Kuiona Taifa Stars vs Uganda ni Bure
Shirikisho la Soka Tanzania TFF, limetangaza rasmi kutouza Tena tiketi za mzunguuko Baada ya wadau wengi kujitokeza kulipia tiketi hizo na hivyo kufanya mchezo wa kesho wa Taifa Stars vs …
Oxlade Achanganyikiwa Kuhusu Kuchagua Timu Baada ya Kuondoka Liver
Alex Oxlade-Chamberlain anaonekana kukosa chaguo linapokuja suala la kuchagua klabu yake ijayo ikiwa ataondoka Liverpool msimu wa joto. Chamberlain mwenye miaka 29, alijiunga na The Reds mwaka 2017 lakini …
Van Persie Anaamini Arsenal Itaenda Umbali Mrefu Kushinda Taji la EPL
Robin van Persie ameiunga mkono Arsenal kukabiliana na tishio la Manchester City na kushinda Ligi ya Uingereza kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2003-04. The Gunners waliingia kwenye …
Smith Rowe Anatamani Sana Kuisaidia Arsenal Kubeba Taji
Emile Smith Rowe “anatamani sana” kuisaidia Arsenal kumaliza kusubiri kwa muda mrefu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya msimu wake wa majeraha. Smith Rowe amekuwa nje …
Chilwell na Zinchenko Wastaajabu Ushujaa wa Saka Dhidi ya Ukraine
Ben Chilwell amesema kuwa Bukayo Saka “huleta furaha kwa kila mtu mwingine” katika kambi ya Uingereza huku mchezaji huyo akijiunga na Oleksandr Zinchenko katika kupongeza ushindi wa mechi ya kufuzu …

