Kuiona Taifa Stars vs Uganda ni Bure

Shirikisho la Soka Tanzania TFF, limetangaza rasmi kutouza Tena tiketi za mzunguuko Baada ya wadau wengi kujitokeza kulipia tiketi hizo na hivyo kufanya mchezo wa kesho wa Taifa Stars vs Uganda kuwa na uhakika na mashabiki. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

taifa stars

Afisa habari wa shirikisho la Soka Tanzania, Clifford Mario Ndimbo amesema kuwa, tiketi zote za daraja la mzunguuko zimeshalipwa, hivyo hakutakuwa na utaratibu wa kugawa tiketi badala yake, watakaowahi uwanjani watapata fursa ya kuingia uwanjani.

Beti na Meridianbet mechi hii ya taifa stars vs Uganda, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

“Eneo la mzunguko tayari limeshajaa, kuanzia saa 6:00 mchana milango itakuwa wazi kwahiyo mtanzania yoyote popote ulipo kuwahi kwako kufika ndio kuingia kwako. Kwenye eneo la mzunguko, kila mtanzania ana nafasi ya kuingia uwanjani kwakuwa tayari zimeshalipiwa ”

“Kama tiketi zingekuwa chache tungetangaza utaratibu wa namna ya kupata lakini kwakuwa tayari zimenunuliwa zote basi milango ipo wazi kwa wote ” – Clifford Mario Ndimbo, Afisa Habari wa TFF.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Taifa Stars kesho March 28 itacheza mchezo wake Dhidi ya Uganda kuwania kufuzu fainali za michuano ya AFCON mwakani katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.