Benavidez Analenga Pambano la Canelo Baada ya Kumshinda Plant
Boxing

Saul ‘Canelo’ Alvarez alikuwa karibu na David Benavidez baada ya ushindi wake wa upande mmoja dhidi ya Caleb Plant siku ya jana.   Benavidez alidai ushindi wa uamuzi wa pamoja …

Soma zaidi
Foden Aondolewa Kwenye Kikosi cha Uingereza Baada ya Upasuaji
Daily News

Mshambuliaji wa Manchester City, Phil Foden amefanyiwa upasuaji kuondoa kidole tumbo hivyo hakucheza mechi ya Ukraine na pia ataikosa Liverpool Jumamosi.   Uingereza ilithibitisha habari hiyo hapo jana, na kumfanya …

Soma zaidi
Fernandes Hakubaliani na Ronaldo Kuhusu ‘hewa safi’ ya Ureno
Daily News

Bruno Fernandes haamini Ureno ilihitaji “pumzi ya hewa safi” ambayo Cristiano Ronaldo alikuwa anatazamia chini ya Roberto Martinez.   Martinez amechukua mikoba ya Ureno kwa mara ya kwanza katika mapumziko …

Soma zaidi
Martinez Azungumzia Uzoefu na Umuhimu wa Ronaldo
Daily News

Roberto Martinez ameusifu uzoefu wa Cristiano Ronaldo kwani mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38 alifunga mara mbili katika ushindi wa 6-0 wa Ureno dhidi ya Luxembourg jana.   Ronaldo …

Soma zaidi
Antonio Conte Aondoka Spurs kwa Maridhiano ya Pande Zote Mbili
Daily News

Antonio Conte ameondoka Tottenham kwa ridhaa ya pande zote kufuatia mlipuko wake mkali dhidi ya wachezaji “wabinafsi” wa klabu hiyo.   Spurs wamethibitisha kuwa Cristian Stellini atachukua usukani kwa msimu …

Soma zaidi
Levy Atoa Wito wa Umoja Baada ya Kuachana na Conte
Daily News

Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy ametoa wito kwa kila mtu anayehusishwa na klabu hiyo kuungana kwa muda uliosalia wa msimu huu baada ya kuachana na kocha mkuu Antonio Conte.   …

Soma zaidi
Saka Awasha Moto Uingereza ikiibamiza Ukraine
Daily News

Kiungo wa klabu ya Arsenal Bukayo Saka ameendelea kuwasha moto akiwa na timu ya taifa ya Uingereza kwenye michuano ya kufuzu michuano ya Euro mwaka 2024 baada ya kufunga bao …

Soma zaidi
Messi Apewa Heshima Tena Kwao
Daily News

Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi amepata heshima nyingine tena nchini kwao baada ya chama cha soka nchini humo kurasimisha kituo cha mazoezi nchini humo kuitwa jina …

Soma zaidi
Telles Kurejea United
Daily News

Beki wa kimataifa wa Brazil anayekipiga klabu ya Sevilla ya nchini Hispania kwa mkopo akitokea klabu ya Manchester United Alex Telles inaelezwa atarejea ndani ya Man United mwishoni mwa msimu …

Soma zaidi
Southgate Achukizwa na Rashford
Daily News

Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza  Gareth Southgate ameonesha kuchukizwa na kitendo cha mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford baada ya kujiondoa kwenye timu hiyo. Kauli ya …

Soma zaidi
1 2 3 550 551 552 553 554 555 556 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.