Manchester United Ilimtaka Amrabat
Daily News

Klabu ya Manchester United ilimuhitaji kiungo wa kimataifa wa Morocco na klabu ya Fiorentina Sofyan Amrabat katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari hii imevuja kutoka kwa kaka wa kiungo …

Soma zaidi
Casemiro Aanza na Kipigo
Daily News

Nahodha mpya wa timu ya taifa ya Brazil Carlos Casemiro ameanza kwa kipigo majukumu yake hayo mapya kwenye timu hiyo baada ya kupokea kipigo cha mabao mawili kwa moja dhidi …

Soma zaidi
Courtois Kuikosa Mechi ya Kirafiki Dhidi ya Ujerumani Kutokana na Jeraha
Daily News

Thibaut Courtois ataukosa mchezo wa kirafiki wa Ubelgiji dhidi ya Ujerumani siku ya Jumanne kutokana na jeraha la kidonda.   Kipa huyo wa Real Madrid amejiondoa kwenye kikosi Ubelgiji siku …

Soma zaidi
Kante Kurejea Uwanjani Wiki Hii
Daily News

Kiungo wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa Ngolo Kante  ambaye amekaa nje ya uwanja kwa muda mrefu atarejea uwanjani mapema wiki hii katika mchezo wa kirafiki …

Soma zaidi
Laporta: Milango iko Wazi Messi Kurejea
La Liga

Rais wa klabu ya Fc Barcelona Joan Laporta amesema milango iko wazi kwa Lionel Messi kurejea ndani ya klabu hiyo huku akiahidi kuboresha mahusiano baina ya mchezaji huyo na klabu …

Soma zaidi
Kapombe na Mohamed Hussein Waongezwa Timu ya Taifa
SOKA LA BONGO

Baada ya timu ya Tanzania Taifa Stars kurejea nchini, wakitokea Uganda walipokuwa wakicheza mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Afcon, Kocha mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche amewaita Kapombe na …

Soma zaidi
Balogun Lazima Awe na Subira ya Kuitwa Timu ya Taifa ya Uingereza
Daily News

Gareth Southgate amemtaka Folarin Balogun kuwa mvumilivu kwa ajili ya kuitwa timu ya Taifa ya Uingereza.   Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amefanya vyema kwa mkopo na Reims …

Soma zaidi
United Inamtazama Mchezaji Mdogo wa Ireland na Brighton Ferguson
Daily News

Inaripotiwa kuwa klabu ya Manchester United, inavutiw ana mshambuliaji wa Jamhuri ya Ireland na Brighton Evan Ferguson kwaajili ya msimu ujao.   Ferguson alifunga bao lake la kwanza la kimataifa …

Soma zaidi
Kituo cha Mazoezi cha Argentina Chapewa Jina la Messi
Daily News

Timu ya taifa ya Argentina imemtukuza Lionel Messi kwa magwiji wa Kombe la Dunia kwa kukipa kituo chao cha mazoezi kwa jina la nahodha wao mahiri.   Casa de Ezeiza, …

Soma zaidi
Joselu Acheza Mechi ya Kwanza ya Uhispania Jana
Daily News

Joselu alikuwa katika ndoto baada ya kufunga mabao mawili kwenye mechi yake ya kwanza ya Uhispania na kusaidia La Roja kuishinda Norway 3-0 huko Malaga jana.   Kocha mkuu mpya …

Soma zaidi
1 2 3 551 552 553 554 555 556 557 2,272 2,273 2,274
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.